Ally chilima
Member
- Feb 16, 2012
- 9
- 1
Naomba mnisaidie syllabus za masomo yaliyo kwenye mchepuo wa HGL msaada wenu unahitajika ndugu zangu
Una bei gani?.
we unataka bei gani?
laki 3 unazo?
Mi nna laki 7laki 3 unazo?
Naomba munisaidie syllabus ya ACSEE ktk mchepuo wa HGL msaada wenu unahitajika ndugu zangu
Mbona hakuna syllabus ya HGL ipo ya individual subject halafu acha uvivu mbona maduka ya vitabu yapo