msaada wenu jamani jinsi ya kuchakachua king'amuzi cha startimes kishike ITV NA STARTV

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
Kiukweli napenda kuangalia taarifa ya habari ya star tv coz iko makini si kama upuuzi wa tbc1.naomba anaejua kuchakachua anisaidie mi npo arusha nimeona kuna jamaa wanaziona hz chanel za itv na star
 
vpi moshi imeshindikana jamani maana mara kwa mara tumekuwa tukiomba mtusaidie lakini
kimya kinatawala.tusaidieni na cc hku moshi tufaidi matunda jf techn
, chief mkwawa na wengine mko wapi?
 
Tukumbukeni na sisi watu wa Moshi. Tutumie codes zipi kuchakachua(hizi mnazotoa hazifanyi kazi Moshi).
 
hizo ni za dar ni vigumu kutafuta za mkoa mwingine wakati haupo huko labda mtafutaji awe ndani ya huo mkoa
 
Back
Top Bottom