msaada wenu jamani jinsi ya kuchakachua king'amuzi cha startimes kishike ITV NA STARTV

Kiukweli napenda kuangalia taarifa ya habari ya star tv coz iko makini si kama upuuzi wa tbc1.naomba anaejua kuchakachua anisaidie mi npo arusha nimeona kuna jamaa wanaziona hz chanel za itv na star

nunua decoda ya dvb-s2 na ungo wa cm90 channeli zote buree
 
Back
Top Bottom