Msaada WeB site

Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,194
5,598
nahitaji msaada kwa wanaojua (technicians) nahitaji kuanzisha Website!
ila sio ya e commerce lakini, ya watu wa profession yangu kujiunga na kudiscus inshu zetu, pia wanafunzi wa profesion, pia iwe inaweza kuwa opened kwenye simu, yani kwa ufupi kama forum, post topic, reply and chat (sasa hapa sijui tofauti ya forum na web au ni vitu sawa) kama nitakuwa nimekosea mtanisaidia.

sasa swali ni hili je itanigharimu sh. ngapi kutengeneza (kuianzisha, kusajili na kuwa complete ili kuanza kutumika.

nanitumie procedure zipi? (ushauri wa kina unahitajika)
 
brother sjajua uwezo wako wa kutengeneza website kuna aina mbili ya kutengeneza website

aina ya kwanza
Hapa utatumia website za bure ambazo we utahitajika kuchange templates tu na vitu vichache, hii ni nzuri kwa watu wasio na knowledge ya kutengeneza website just google hii keyword "create free forum"

aina ya pili
Hapa utatafuta hosting then utainstall script yako mwenyewe kwenye huyo host, hii inakuwa recomended kwa wataalam na pia ni nzuri kwa kufanya customization na kueka vitu unavopenda utakua huru.
 
mi si mtaalamu labda sikuweka wazi hili, nilipoomba gharama ni pamoja na mtu wa kutengeneza yaani IT atakaye nitengenezea, sasa cjajua nzuri ni zipi zilizo online au anayokutengenezea mtu kisha anaisajili, na hizo za online zaweza kufunguka kwenye simu kama vile kwa mf: FB. nk?
 
Washakuona wata kupm mda si mrefu hao ma it sema be carefull sio wote waaminifu.

Ngoja nikutestie then ntakujibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom