Msaada wana JF-Great Thinkers!!!!

YETOOO

Member
Nov 25, 2011
83
37
Naomba sana mwenye kujua website ya Tanzania International Petroleum Reserves Ltd (TIPER) anipatie kuna taarifa muhimu sana kwangu nahitaji kusoma kwenye hiyo website yao.Natanguliza shukrani za dhati.
 
umeishaenda google??jaribu kugoogle kwanza ndio uombe msaada.
 
Mkuu ukiona hadi naomba msaada ujue nimeshaenda gugo na bado sijapata la maana,kama waweza nipatia hiyo website naomba msaada tena kwa mara ya pili.thx

Back
Top Bottom