Msaada wakuu..!!

Hapana CPU, sikutimui kivile, najaribu kuonesha position zenu tu.
Kwamba wewe uijue position yako, ili mbele ya safari usinabadilikie lol!

Sasa my dia ulitegemea nitakubadilikiaje? Kwa kukutaka au? Mbona nimeshakutaka sana tu???:twitch:

Afadhali manake Naona ameshaanza bifu la kichini chini, anaweza akanichunia kabisa huyu!!
Hata nisimuulize kitu!!

La la la la la la la la la la la
Wewe ni mke wa PM nini?
 
At least hiyo huwa inasaidia sana lakini tatizo huwa naye analalamika kuwa anakuwa hainjoi kwa kuwa anakuwa na kazi ya kuzipekecha tu........Na mimi kama yeye hajaridhika huwa najiona kama nimepungukiwa katika uanaume wangu.........

Ndio maana nikakwambia hakikisha amemaliza kabisa sasa inakuwa ni kukuridhisha wewe yaani anakuwa keshafika kileleni hii anakusaidia wewe inafanya kazi mimi dk 20 mpaka 30 naonaga kero so huwa natumia hizo technique zilisaidia sana. Sometimes inabidi kunong'onezwa maneno matamumatamu sikioni hadi unamaliza wakati mwingine chukua kidole chake endelea kukinyonya mpaka unamaliza ni vitu vya ajabuajabu ila vinawork.
 
waone watalaamu wa hayo mambo wapo opposite na Hindu mandal Hospital (natural Therapy)
 
La la la la la la la la la la la
Wewe ni mke wa PM nini?

Sipiyuuuuuu acha uchokozi!!!
Usinigombanishe na watu hapa lol!!
PM ni mwanafunzi wangu, nilimfundisha nasary school miaka ile!!
Kwa sababu ya utii wake na juhudi zake katika masoma, nimemweka moyoni, namuombea,
halafu nampenda tu, yani namchukulia kama first born wangu.

Acha kabisa usije mnyima riziki yake hapa MMU!!!
 
Mwambie huyo asee,amebarikiwa hivyo then analalamika,mkewe a''cop'' na hali hiyo a''enjoy na yy'' for long...............
 
Sipiyuuuuuu acha uchokozi!!!
Usinigombanishe na watu hapa lol!!
PM ni mwanafunzi wangu, nilimfundisha nasary school miaka ile!!
Kwa sababu ya utii wake na juhudi zake katika masoma, nimemweka moyoni, namuombea,
halafu nampenda tu, yani namchukulia kama first born wangu.

Acha kabisa usije mnyima riziki yake hapa MMU!!!

Aaaaah wapi, mimi na wewe mpaka unikubalie tu
huyo si denti wako, mimi nataka uwe denti wangu
 
Kwa wastani katikati ya wiki yaani j3 mpaka ijumaa huwa ni 3times na kila tunapokutana huwa atleast 2 rounds, hivyo fanya 3 times 3.Na inapokuwa weekend naweza kwenda hata 4 rounds kwa usiku mmoja.

Hiyo sasa ni michezo ya kitoto.....Watu wazima huwa hatuna vitabu vya kumbukumbu...Ni kushereheka Valentine kwa raha zetu badala ya kujigeuza Wakenya katika mbio za marathon!
 
Hiyo sasa ni michezo ya kitoto.....Watu wazima huwa hatuna vitabu vya kumbukumbu...Ni kushereheka Valentine kwa raha zetu badala ya kujigeuza Wakenya katika mbio za marathon!

Babu hata mii hii nimeistukia mapema tu!!
Lakini mjukuu wako msaidie tu, isijekuwa ni kweli babu anamaanisha babu!!
 
Babu hata mii hii nimeistukia mapema tu!!
Lakini mjukuu wako msaidie tu, isijekuwa ni kweli babu anamaanisha babu!!

Huyu anamtania babu yake....Kwa jinsi anavyoeleza hayo ni matamanio tu. Angekuwa anafikisha hata 30min kama wengine tulivyozoea basi asingeweza kuongelea mambo round 4 kwa siku.

Hakuna anatomy inayoweza kuhimili labda kama baada ya round ya kwanza anahamia kwenye michezo ya sabuni. Hakuna mwanamke anaweza kuhimili hayo mambo ya kufua chuma!
 
Aaaaah wapi, mimi na wewe mpaka unikubalie tu
huyo si denti wako, mimi nataka uwe denti wangu

CPU mimi ni bibi kizee utanifundisha nini?
Mi nimwanafunzi na mjukuu wa babu ASprin, DC, na Superman!!!
Halafu sitaki kuongeza wanafunzi, nilionao wananitosha!!
 
Huyu anamtania babu yake....Kwa jinsi anavyoeleza hayo ni matamanio tu. Angekuwa anafikisha hata 30min kama wengine tulivyozoea basi asingeweza kuongelea mambo round 4 kwa siku.

Hakuna anatomy inayoweza kuhimili labda kama baada ya round ya kwanza anahamia kwenye michezo ya sabuni. Hakuna mwanamke anaweza kuhimili hayo mambo ya kufua chuma!

Kwa maana ingine kama anamaanisha, inabidi wanawake wamkimbie sio babu!!
Mmmm labda apunguze kula ugali na nyanya chungu babu, yawezekana yeye anakula ugali daily.
Akipunguza hayo manguvu ya round 4 hayatapungua babu.
 
CPU mimi ni bibi kizee utanifundisha nini?
Mi nimwanafunzi na mjukuu wa babu ASprin, DC, na Superman!!!
Halafu sitaki kuongeza wanafunzi, nilionao wananitosha!!

Hivi siku hizi watu wanaomba kufundisha? Zamani zetu ilikuwa kinyume chake....Haaaaaaaaaa kweli kuishi kwingi...LOLO!
 
Kwa maana ingine kama anamaanisha, inabidi wanawake wamkimbie sio babu!!
Mmmm labda apunguze kula ugali na nyanya chungu babu, yawezekana yeye anakula ugali daily.
Akipunguza hayo manguvu ya round 4 hayatapungua babu.

Ni hadithi tu za kijiweni. Wenye uzoefu tunajua ni kitu gani kinaweza kufanyika.

Binadamu (mwanamke) siyo sawa na mbwa jike ambaye anatomy yake inajiandaa kwa non-stop sex kwa siku 5 hivi! Hata huyo mbwa baada ya hapo anapumzika kwa miezi kama 5 hivi. Sasa huyo analeta wish list yake tu hapa!

Realities awaulize walio kwenye game kwa zaidi ya miongo 2 watamsimulia nini huwa kinatokea!
 
Jambo analolizungumza PM hata mie limekuwa likinisumbua mara kwa mara tena mie ndo ilikuwa mbaya naenda zaidi ya saa 1 kwa round ya kwanza na nikiwa nimetumia kilaji chenye kilevi siku hiyo ni mpaka saa 2 hadi 3 either mama ameomba poooo inabdi mechi ihairishwe. katika harakati zangu kwa kutafuta ufumbuzi nikaamua kuacha kufanya mazoezi nina miaka miwili sifanyi mazoezi na najiona nimefikia kiwango cha PM. Mwenyewe najiona ni wa ajabu na nimekuwa napata tabu kwani nachoka sana na wakati mwingi sifurahii hasa pale mwenza anapokuwa analalamika. Madaktari tafadhari msaada
 
CPU mimi ni bibi kizee utanifundisha nini?
Mi ni mwanafunzi na mjukuu wa babu ASprin, DC, na Superman!!!
Halafu sitaki kuongeza wanafunzi, nilionao wananitosha!!

Tena nawapendaga kweli nyie vikongwe mikongojo, hamna ugonjwa wowote, halafu radha yenu ilivyo chachu ndo balaa
 
huyu bwana mara nyingi stori zake ni za kufikirika hazina uhalisia...nyie chunguzeni.:twitch:
 
Kwa wastani katikati ya wiki yaani j3 mpaka ijumaa huwa ni 3times na kila tunapokutana huwa atleast 2 rounds, hivyo fanya 3 times 3.Na inapokuwa weekend naweza kwenda hata 4 rounds kwa usiku mmoja.

Duh! kwa mwendo huo ndo maana mpz wako analalamika. Unajua kitaalamu kadiri muda unavyoongezeka na raundi zinavyoongezeka ule ute unaolainisha sehemu za secret za mwanamke hupungua na hivo kupunguza uterezi kitu kinachofanya awe anaumia inapofikia point flani. Pia hata ukisema utumia hizi artificial sex lubricants hazisaidii kwa 100% ukilinganisha na ile God made one.

So, what to do ni kwamba, wen u do it, make sure unamuandaa mpz wako kwa kiwango cha hali ya juu na hata ukishaanza kutwanga sio iwe kutwanga mwanzo mwisho, inatakiwa viende pamoja na romance kumfanya azidi kunyevuka. Wataalamu wa mapenzi wanashauri hata kutumia Oral sex sometymz ukiwa safarini ukiona anaanza kulalamika, itasaidia kidogo kumrudisha ulingoni.
Do the same thing in every break between rounds. I hope she wont complain.

Ni hayo tu mkuu.
 
Hongera na mshukuru mungu kwa hilo..me nakushauri kabla ya kufanya mapenzi hakikisha mpnz wako amekuandaa vya kutosha kiasi ambacho unafeel upo jirani kufika kileleni ndio uendelee,pili ukiwa ktk process hamishia akili yako pale na vuta hisia ya raha unayopata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom