msaada wako kimawazo

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
366
68
wana JF ni matumaini yangu mko wazima na waliomahospitalini tuko pamoja nao ktk maombi ili wapone na kuendelea na majukum yao ya kila siku, wakuu bila kuwachosha mie naomba kusaidiwa kuhusu maeneo mbalimbali yanayofaa kuwekeza katika uchumi wa hii Tz yetu (kwa maana mradi/biashara) wenye kuleta mafanikio nina wakilisha nikitegemea kupata response nzuri kwenye jukwaa hili lenye watu wenye upeo wa ku-share mawazo waliyonayo na wengine.

Wakuu nawashilisha
 
1.TOURISM
2.AGRICULTURE
3.ENTERTAINMENT INDUSTRY
4.MUTUAL FUNDS INDUSTRY (unit trust of Tanzania(UTT),National investment company limited(NICOL),tanzania Chamber of commerce industry and Agriculture Investment Company(TCCA INV CO LTD).
5.HORTICULTURE INDUSTRY
 
Thanks TK)x2 waweza kunifafanulia kidogo namba 3 hadi 5 zimenipa shida kidogo hizo nashukuru kwa mawazo yako ndugu yangu
 
wana JF ni matumaini yangu mko wazima na waliomahospitalini tuko pamoja nao ktk maombi ili wapone na kuendelea na majukum yao ya kila siku, wakuu bila kuwachosha mie naomba kusaidiwa kuhusu maeneo mbalimbali yanayofaa kuwekeza katika uchumi wa hii Tz yetu (kwa maana mradi/biashara) wenye kuleta mafanikio nina wakilisha nikitegemea kupata response nzuri kwenye jukwaa hili lenye watu wenye upeo wa ku-share mawazo waliyonayo na wengine.

Wakuu nawashilisha

Mkuu kwanza hongera kwa kuwa na idea ya kuwekeza, kimsingi Tanzania is a land of opportunity kwahiyo maeneo yote yanafaa kuwekeza kuanzia Agriculture mpaka Zip cropping. Sasa kutokana na interest za mwekezaji husika tunafanya kitu kinaitwa screening ambapo tunaweza kuchagua eneo ambalo wewe kama mwekezaji utaweza kulisimamia na kukawa na tija katika eneo hilo. Anyway tunaweza kuorodhesha maeneo mengi lakini kwako wewe kuingia huko ikawa ngumu. Sasa kama uko serious katika kuwekeza we can work together to unlock your hidden potential in the field of investment, kama uko tayari tuwasiliane.

I LOVE TANZANIA, THE LAND OF OPPORTUNITY
 
Thanks TK)x2 waweza kunifafanulia kidogo namba 3 hadi 5 zimenipa shida kidogo hizo nashukuru kwa mawazo yako ndugu yangu originally posted by Mchakachuaji 192

Entertainment industry hapa nilikuwa namaanisha unaweza kuweka katika maeneo mbalimbali ya muziki ya kizazi kipya na ile ya asili,ambapo unaweza kutoa burudani ndani na nje ya nchi.Kwa mfano ngoma zetu za asili zinakubalika sana nje ya nchi,hii yaweza kuwa chanzo kizuri cha mapata kama ukijipanga vizuri katika eneo hili,cha kuzingatia zaidi ni kufanya utafiti yakinifu wa soko usika.
Horticulture industry Hapa nililenga zaidi katika biashara ya maua.Biashara hii ni maarufu sana maeneo ya Arusha na Kilimanjaro katika nchi yetu.Hapa pia ukiwa makini waweza kujipatia fedha nyingi za kigeni kwa kuwa maua mengi sana yanahitajika katika bara la ulaya.Cha msingi kama nilivyosema awali,ni kufanya utafiti yakinifu wa soko la maua kabla ujaamua kuwekeza kwenye biashara hii.
 
wana JF ni matumaini yangu mko wazima na waliomahospitalini tuko pamoja nao ktk maombi ili wapone na kuendelea na majukum yao ya kila siku, wakuu bila kuwachosha mie naomba kusaidiwa kuhusu maeneo mbalimbali yanayofaa kuwekeza katika uchumi wa hii Tz yetu (kwa maana mradi/biashara) wenye kuleta mafanikio nina wakilisha nikitegemea kupata response nzuri kwenye jukwaa hili lenye watu wenye upeo wa ku-share mawazo waliyonayo na wengine.

Wakuu nawashilisha

unaongelea investment kubwa au unataka kufungua duka angalau lizalishe sh mbili tatu?
Kama ni investment kubwa invest kwenye kilimo ndugu. Itakutoa sana. Nawajua baadhi ya watu ambao kilimo kiliwatoa sana na sahv wamekuwa international b'nessmen.
Kama ni duka tafuta location then check watu wa area hiyo wanademand nini.
 
Well, we specialize in ideas as we bring them to real life. But, I certainly appreciate efforts of others too as we are also into different businesses. I’d love to hear from you guys on any business you want. Thanks!
 
Kama ni biashara ya duka mzee mi sikushauri kabisa ufungue Kilimanjaro(kila baada ya hatua tano duka!)lakini biashara ya kilimo,au ufugaji wa kuku wa kisasa unalipa sana hapa kilimanjaro.Pia mradi wa usafiri ni bomba sana!Barabara zimemwagwa lami huku hakuna magari kabisa!Pia biz ya maua naskiaskia inalipa.Skiliza moyo wako kwanza.
 
Back
Top Bottom