MSAADA wa VIRUS

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Kuna mtu sitaki kuona picha yake kwenye internat, inawezekana na wewe anakukwaza ukimuona, Najua Virus ni mbaya kwa computer yangu but ningependa huyu jamaa awe virus kila niingiapo kwenye internet. Msaada kama unaweza kutengeneza virus ya picha
 
:tape:
 
Masihara haya. Hebu toa description ya huyo virus unataka afanye nini exactly, then weka link ya hiyo picha hapa then nitamuweka huyo virus hapa in a few hours.
 
masihara haya. Hebu toa description ya huyo virus unataka afanye nini exactly, then weka link ya hiyo picha hapa then nitamuweka huyo virus hapa in a few hours.

angalizo usije ukaletewa picha zaidi wengine tunatoka mumuhumu
 
Masihara haya. Hebu toa description ya huyo virus unataka afanye nini exactly, then weka link ya hiyo picha hapa then nitamuweka huyo virus hapa in a few hours.

Mzee unaonekana uko vizuri sana kwenye maswala ya computer kwa ujumla.
Hayo maelezo yako yatoa taswira yako!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom