Msaada wa Utambuzi Picha ya Rais.........

Kama ameolewa basi mumewe atakuwa na kazi kweli kweli. Maana kwa walivyomechisha lolote laweza kusemwa hata kama si kweli. Watu wa protokali walipaswa kuepusha balaa hili. Kazi hata kwa Salma.
 
hapa wako malawi kwenye msiba/ mazishi ya Bingu

Mkuu Mwana Mpotevu kweli ni Malawi hapo? Ina maana Rais alienda Malawi na Waziri wa Nishati na Naibu wake kweli?

Siyo kwenye shughuli moja ya mambo ya madini iliyofanyika kama mwezi mmoja uliopita?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mwana Mpotevu kweli ni Malawi hapo? Ina maana Rais alienda Malawi na Waziri wa Nishati na Naibu wake kweli?

Siyo kwenye shughuli moja ya mambo ya madini iliyofanyika kama mwezi mmoja uliopita?

Kimbunga ni kweli nimefuatilia nimekuta ni katika launching moja Kempiski Kilimanjaro
 
kwake yeye huwa hajali kitendo gani kitaleta picha gani kwani katika zinduka si alikwenda kuselebura kule stegini isingekuwa maafisa usalama tungeona mambo makubwa zaidi.
huyu ndio kiongozi wetu.
 
mtu wa watu jamani mnataka nini.hapo alitamani hata walioongozana nae wote wangevaa kama yeye.
kwanza anatamani kuwaita wapiga picha wa magazeti mengi zaidi kumpiga auze sura.
 
hakuna raisi wa tanzania anayependa kupiga picha kama jk
nyerere ilikuwa kazi kumpata hadi upigenae picha. na zisizo na msingi hakuwa anapiga lakini huyu kila mtu ni rafiki yake hata wewe ukikutana nae ukamwambia mh. tupige picha atapiga.
mtu wa watu!!!!!
 
wamependeza acheni wivu! linafaa kuwa vazi la taifa!

n4.jpg




 
Jamani inamaaana na huyu catherine kagharaiwa na pesa za kodi yetu kwend kuzika? je ni lazima au ni kwamba bimkubwa kachoka kupanda ndege sasa akamuomba cathe amsindikize msure? na kwa stail hii yale mambo ya pwani yalimkosa kweli?..................., hivi wanae hawawez humshauri baba mbona naskia kuwa ana watoto wengi sana kuliko bingwa wa mutharika? binafsi naiita aibu na kujidhalilisha. kwahiyo shada la maua alishika na huyo cathe. kazi kwleikweli.
 
afadhali imekuwa ni hapa bongo kempinsik manake nilishangaa sana, ila hata hivyo ndoa ndoanooooooooooooooo. wanaume mupo? mkifurahia kuendesha ma prado ya wake zenu basi mjue huko ndiko yatokako.
 
Back
Top Bottom