Msaada wa Utambuzi Picha ya Rais.........

Mh sina hata la kuongea ila nilitaka kujua kwamba huyo mbunge wa viti maalumu kulikuwa na haja ya yeye kuwepo hapo na mkuu wa nchi tena kwenye red carpet?
 
kwa shauku zaidi ya kumjua nimekutana na hii ikanipa shock zaidi!
magige 2.jpg
 
Swali: Hapo walikuwa wapi? Na kama ni nje ya nchi basi hao wenyeji wa wa kiongozi wetu lazima wajue kua huyo ndie FIRST LADY WA TANZANIA. Picha inajieleza jamani au nyinyi mnaitafsiri vipi?
 
Swali: Hapo walikuwa wapi? Na kama ni nje ya nchi basi hao wenyeji wa wa kiongozi wetu lazima wajue kua huyo ndie FIRST LADY WA TANZANIA. Picha inajieleza jamani au nyinyi mnaitafsiri vipi?

mkuu mie nashindwa kuitafsiri vema hii picha kiukweli nimekwama, ndio maana nimeomba msaada zaidi kwa wanaojua undani bila kuongozwa na hisia
 
Aise mambo ni mengi sana ya kujiuliza. Alafu kitu ambacho nimekigundua wabunge wa kuteuliwa wa CCM wengi ni vijana na wazuri mno. Sasa sijui kuna intention gani katika hilo ccm!
 
Huyo ni Catheline Magige mbunge wa viti maalum Arusha.

Hakuwa malawi ila ndo anaenda malawi,kwa itifaki hapo anatakiwa mke(first lady) maana a mare mbunge hawezi kuwa hapo badala ya wasindikizaji waziri na mkuu wa mkoa, kweli huyo mbunge wa VITU maalum hadi wanamarchisha?
 
ANGUKA..ARI,NGUVU NA KASI ZAIDI..kwani yeye Mungu hadi ajue matatizo yetu! Jk uko juu..wakwere 2poo!! Bora mie nliopo msoga nakula zangu mihogo..wera jk
 
Back
Top Bottom