Msaada wa ushauri!!!

manjoge

Member
Dec 8, 2012
18
10
Habarini za jioni wapendwa,

Mimi ni msichana nimeolewa miaka miwili iliyopita tatizo ni kwamba mume wangu anawahi kufika kibo na mawenzi tukiwa katika lile tendo yani dakika 2 nyingi na akitaka round ya pili basi humchukua hata nusu saa na huishia njiani hafiki tena kibo.

Kwakweli kama nshawahi kufurahia tendo haizidi hata mara 4 na mara nyingine huwa naona kama kero kwakuwa si enjoy kiufupi kwa upande wangu sijaona bado raha ya tendo la ndoa!

Hapendi kupitia hata majarida ya mapenzi au hata kutembelea majukwaa kama haya mara nyingi hunigombesha akiniona naperuzi masuala ya mahusiano.

Nisaidieni sijui hata naanzaje kumwambia!
 
pole sana bibie,.

Hili tatizo limewakumba wanaume wengi sasa,..


Je kuna maandalizi yoyote anayoyafanya kwako kabla ya tendo,?? Namaanisha huwa anakuandaa kabla?
 
pole sana dada...duh,,, hata pa kuanzia thijui.....tatizo na wewe umekata tamaa...ndoa bado mbichi hiyo....jishughlishe bibie...
 
Pole.. Jaribu kuchange styl na jaribu ww kuwa mjanja ucwait mpk yy akufanyie ww kitu. Na jitahid umvute akili yake iwepo hapo mlipo co kwengine au mastress
 
unataka dakika ngapi???

on average mwanaume wa kawaida ni rarely kuenda more than 2.5 minutes kwa bao la kwanza, sasa inawezekana unamkatisha tamaa akifika mapema thts why anashindwa kumaliza lap ya pili na haendi kabisa hzo nyngne. Mtie moyo, usimkatishe tamaa, asiwahi kuku...... kwanza, akufanyie mautundu mengine ili uridhike before kuingia anywhere, ukishatepeta ndo amalizie na mshindo mkuu.

Yote hayo na wewe watakiwa kumsaidia,sio unalala tu kama reli ya kigoma tokea 1960's iko vlevle tu, jipange saana
 
Haya ndo madhara ya kuiongoja hanimuni ndo ule tunda
aaaaagrrrr heri nionekane muasherati kuliko knunua mbuzi kwenye gunia!!!!!!!!!!

pole sana.
 
Mmmm! pole shosti,lakini jaribu sana kumchezesha chezesha ili na wewe uambulie japo kidogo,usimtegemee sana yeye kukufikisha kwa style hiyo ya 2minutes.com,kua mtundu usimuone haya sehemu ile shosti inatakiwa uwe Malaya nikisema hivyo sijui itakua umenielewa hili neno bibi yangu ndio alinambia kumanisha ujifarague ndio uwanja wako peke,na usingoje
yeye akuanze wakati mwengine jitoe hafamu anza wewe, shoti nikianza kusema hatutamaliza leo lakini hilo tatizo sio kubwa
wewe mwenyewe utakua dawa yake kwani mashamsha ukiwa nayo ata nyumbani atarudi mapema......Karibu Tanga...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom