Msaada wa shampoo nzuri ya kuondoa mba

Gaitonde

Member
Sep 5, 2022
70
170
Wakuu Salam,

Naomba msaada kwa anayefahamu shampoo nzuri ambayo nikiitumia basi mba kichwani zitaisha.

Karibuni.
 
1687008032582.png
 
Tumia grace shampoo hii ya bukubuku, halafu paka mafuta ya nazi ( minara)

Mba utazisikia kwa jirani
 
Pia ipe nywele treatment yake inayokaiwa jitahidi nywele isikose unyevu wa maji na mafuta

Kama ni natural basi fata procedure zinazotakiwa
 
Kama utaweza tumia juisi ya kitunguu maji(weka kitungu kwenye blander chuja) ile juisi utapaka. Nywele ziwe low cut pia tumia usiku(sababu ya harufu yake) asubuhi weka head&shoulder shampoo na mafuta ya Castro wiki tu kichwa safi.
 
Back
Top Bottom