Msaada wa program iitwayo JavaScript

miksel

Member
Jan 5, 2011
63
6
Wakuu msaada ya programa iliyotajwa hapo juu.Naombeni sana msaada.Kwa anayejua anitumie link
 
Sidhani Javascript ni program unayoinstall kama standalone program bali itakuwepo kwenye computer yako kama web browser (Internet Explorer, Firefox) ipo installed.

Labda kama swali lilikuwa ni software ipi nitatumia kuandika javascript pengine wadau wangekupa hizo programs.

Mfano wa javascript code ni kama ifuatayo

Code:
<html>
    <head>
        <title></title>
    </head>
    
<body>

<h1>Javascript Kutambua browser ninayotumia</h1>


[B]<script type="text/javascript">
  document.write("Ninatumia Browser: " + navigator.userAgent);
</script>[/B]

</body>
</html>

Mchanganyiko wa HTML na javascript ( maandishi yaliyo ndani ya <script> </script> )

Ambayo unaweza kuandika kwa kutumia notepad pekee.... Nadhani umenielewa.

Kama ni program specifically for web development, my suggestion ni aptana V3 from Aptana
 
Wakuu msaada ya programa iliyotajwa hapo juu.Naombeni sana msaada.Kwa anayejua anitumie link
Tupe maelezo yakinifu unaitaka hiyo javascript program ili uifanyie nini? Kwa kukusaidia tuu ni kwamba Javascript siyo program bali ni client site language (japokuwa siku hizi kuna sever side JS) yaani inakuwa executed kwenye browser ili kuleta a dynamic user friendly experience. Sasa tueleze vizuri unachotaka maana inawezekana unaongelea Javascript engine tukidhani hujui unachoongea, unaposema program, wakati wewe ni pro.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom