Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,944
- 1,431
Wadau naombeni msaada wenu zaidi....Nadhani nimejaribu kucheck zaidi lakini nimeshindwa kufumbua problem ya hii laptop yangu ni nini...Kwanza kabisa nina problem ya internet ya kuaccess website...Natumia internet explorer,firefox,safari, na opera hizi zote ninazo lakini sielewi kwa nini mfano siwezi kufungua mfano hotmail,yahoo,facebook na baadhi ya website zingine nimejaribu kwa kufungua kutumia hizo browse ambazo nilizozitaja lakini bado inagoma kabisa nikifungua mfano nataka kuweka password na username nikiclick ok inasema kwamba Safari/firefox/opera cant connect to the server au kuna mahali nime deny access maana sasa sijui hata nifanyeje......