Msaada wa password za Good Vision Smart TV 32

King Rabbit

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
736
2,673
Mwenye kujua password za goodvision 32" anasaidie aisee.

TV yangu ghafla toka majuzi nikiiwasha inareta message hii yani zimebaki dk 4 ijizime automatic yenyewe, nilifikiri kuifanyia system recovery lakini nilipofika hapo inadai password ambazo sijawahi kuweka na sizijui.

Msaada kwa wajuzi wa mambo hayo tafadhali inaninyima raha kweli maana inablink muda wote "remain time:4Min" na inaanza ku count down.

20230424_102212.jpg


20230424_101847.jpg
20230424_101655.jpg
 
Mwenye kujua password za goodvision 32" anasaidie aisee.

Tv yangu ghafla toka majuzi nikiiwasha inareta message hii yani zimebaki dk 4 ijizime automatic yenyewe,nilifikiri kuifanyia system recovery lakini nilipofika hapo inadai password ambazo sijawahi kuweka na sizijui....msaada kwa wajuzi wa mambo hayo tafadhali inaninyima raha kweli maana inablink muda wote "remain time:4Min" na inaanza ku count down.View attachment 2597936View attachment 2597940
Default password mala nyingi hua ni
0000
1234
Jaribu
 
Angalia kwenye kitabu cha hiyo TV kama unacho utazipata.

For TCL TV, master keys ni 0423. Unaweza jaribu bahati yako may be zikaingiliana.

Pia unaweza google or ukaangalia/ulizia kwenye official website ya kampuni ya TV hiyo.

Ahsante.
 
Kitabu kimepotelea wapi sijui mkuu ngoja nijaribu kuwauliza wao wenyewe.
 
Back
Top Bottom