Msaada wa ndoto hii inayonisumbua kila siku

Hii ndoto ya kuota upo shule ni maarufu sana ila watu wengi wanaichukulia poa. Unaota upo darasa la saba wakati na wenzako wakati ulimaliza la saba miaka 20 iliyopita. Unaota upo shule unafanya mitihani na una hofu kubwa kwani hujasoma na mtihani ndio huo kesho.

Kwa kifupi tu ndoto hii inaashiria kurudishwa nyuma katika ulimwengu wa roho. Maendeleo yako yamekwamishwa kiroho kwa njia za kichawi. Shukuru kwamba umeota hivyo na haitakuwa mwisho hadi utatue tatizo lililopo katika ulimwengu wa roho.

Mara nyingi ni uchawi wa kumkwamisha mtu, roho ya konokono, roho ya kobe au ya kinyonga. Hizi ni roho za kukufanya usiende mbele kimaendeleo kwa kasi yako. Mara nyingi pia ni mtu anatumia nyota yako kichawi. Kifupi umepigwa stop.

Wengi hupatwa na roho hiyo pia kutokana na kuibiwa nyota kunakotokana na kulala na wanawake wanaotumika kama maagenti wa kuiba nyota za watu kupitia kujamiiana. Ni wengi mno huibiwa kwa njia hii.

Unapaswa kuondoa makwazo hayo katika ulimwengu wa roho. Nakushauri mtafute mtu wa kweli wa Mungu, mwombeaji hodari mwenye nguvu za Mungu wa Kweli akuombee.
Ahsante sana kwa somo hili hakika nalichukua kwa mikono miwili na nitalifanyia kazi nitafute watu wa kufanya kisomo nadhan nitakuwa sawa boss.
 
Hii ndoto binafsi huwa inanitokea sana na Huwa inaniudhi kwakweli, mm mara nyingi naota matukio ya paper la necta form six nimesoma boarding Pugu, unakuta siku ambayo mnaanza mtihani wa kwanza jumatatu saa 3 asubhi nakuja kuamshwa na sauti za Wana wanaotoka dinning kunywa chai saa 4 maana yake nashtuka mda wa mtihani umeshapita imagine!!

Au siku nyingine naota Niko chumba Cha mtihani msimamizi anakuambia zimebaki dakika 15 mtihani uishe na hakuna swali hata moja nililojibu kwa usahihi maana najikuta nimeanza kujibu maswali ya kujieleza yakanilia muda na kunichanganya ubongo mpaka multiple choices na true & false nashindwa kujibu mara ghafra nashtuka usingizin nikiwa full stressed ukiangalia shuleni nilikuwa msongo balaa hata ufaulu ulikuwa mzur tu japo nilipambana sana.

Ila hii ndoto nimekuja kugundua mara nyingi huwa inawatokea wale watu waliokuwa wasongo sana enzi za shule ( kina John kisomo) na ni ndoto ya kawaida tu .
 
Hiyo aya ya mwisho umenichekesha sana asee.
Mimi hata usiku wa kuamkia leo nmeota ndoto ya aina hii,nmekuwa naziota sana tu. Ya leo nmeota niko shule ya msingi nadhani,kuna mtihani na maswali yalikuwa yameandikwa ubaoni,picha linaanza kama nimechelewa hivi nahangaika kupata mahala pa kukaa,mwisho nkapata lile dawati la mbele wanapokaaga walim,kwa wale wa ahsante Mkapa mtakuwa mnaelewa. Baada ya kukaa pale mbele nikawa sioni ubaoni ambako ndiko maswali yameandikwa😂😂😂nikapanick,nkashtuka usingizini🙌🙌🙌
 
Hii ndoto binafsi huwa inanitokea sana na Huwa inaniudhi kwakweli, mm mara nyingi naota matukio ya paper la necta form six nimesoma boarding Pugu, unakuta siku ambayo mnaanza mtihani wa kwanza jumatatu saa 3 asubhi nakuja kuamshwa na sauti za Wana wanaotoka dinning kunywa chai saa 4 maana yake nashtuka mda wa mtihani umeshapita imagine!!

Au siku nyingine naota Niko chumba Cha mtihani msimamizi anakuambia zimebaki dakika 15 mtihani uishe na hakuna swali hata moja nililojibu kwa usahihi maana najikuta nimeanza kujibu maswali ya kujieleza yakanilia muda na kunichanganya ubongo mpaka multiple choices na true & false nashindwa kujibu mara ghafra nashtuka usingizin nikiwa full stressed ukiangalia shuleni nilikuwa msongo balaa hata ufaulu ulikuwa mzur tu japo nilipambana sana.

Ila hii ndoto nimekuja kugundua mara nyingi huwa inawatokea wale watu waliokuwa wasongo sana enzi za shule ( kina John kisomo) na ni ndoto ya kawaida tu .
Mkuu pole sana na ndoto hizi, wale tunaotokewa na ndoto hizi mziki wake tunaujua, maana ni kama unaona kabisa maisha yanaelekea kuwa magumu kwenda chumba cha mtihani haujasoma...

Lakini kuna mtu ka share na mimi hapa kuwa huenda hizi ni sign za kiroho kuwa kuna kitu hakiko sawa rohoni mkuu wataalamu hawaji kutuelezea sjui kwanini akina Mshana Jr
 
Hiyo aya ya mwisho umenichekesha sana asee.
Mimi hata usiku wa kuamkia leo nmeota ndoto ya aina hii,nmekuwa naziota sana tu. Ya leo nmeota niko shule ya msingi nadhani,kuna mtihani na maswali yalikuwa yameandikwa ubaoni,picha linaanza kama nimechelewa hivi nahangaika kupata mahala pa kukaa,mwisho nkapata lile dawati la mbele wanapokaaga walim,kwa wale wa ahsante Mkapa mtakuwa mnaelewa. Baada ya kukaa pale mbele nikawa sioni ubaoni ambako ndiko maswali yameandikwanikapanick,nkashtuka usingizini
kwahiyo uliusogolea ubao kwa zero distance
 
Kwa mujibu WA mwakasege ndoto za hivyo ni mbaya Sana,umefungwa na mapepo,omba Sana wachawi wanakurudisha nyuma
 
Ndoto za namna hii zinatusumbua wengi, mara nyingi naota naenda kufanya mtihani alafu sijui chumba nilichopangiwa! Naishia kuzunguka majengo nikiwa full stressed, mpaka muda wa mtihani unaisha!
 
Kuna mtu mmoja, Yeye alikuwa amemaliza Degree ya Ununuzi na Ugavi, alikuwa akipitia wakati ngumu sana kiuchumi.

Ndoto aliyokuwa akiota na ikijirudia ni alikuwa akiota kwenye ndoto amevaa kaptula na shati la shule, anajiona anaingia darasani na kukaa na watoto darasani, mwalimu anaingia na kuwafundisha, alikuwa akihuzunika sana kuwa iweje ajione katika Hali hiyo wakati ni mtu mzima anakaribia miaka 40, afundishweje akiwa na watoto!!!

Ndoto ilipozidi kujirudia sana, aliamua kumuona mtumishi wa Mungu wa Kweli, baada ya kuombewa, ilidhihirika kuwa, NAFSI ya mtu huyo ilikuwa imefungwa na asingeweza Kutoka alipo bila maombi na kufunga Kwa muda Fulani alioelekezwa na Mtumishi wa Mungu.

Baada ya kuendelea na Maombi Kwa muda Fulani, aliota ndoto nyingine, wakati huu alijiona akiwa shule alosomea ya secondari,

Baada ya muda kupita, aliota ndoto akiwa chuo kikuu na BAADAYE aloianza kuota NDOTO zilizoendana na umri na maisha yake.

Maisha yake yalibadilika na Ugumu wa maisha uliisha na alipanda ghafula kiuchumi na sasa anamiliki makampuni yake na ameajiri watu wengi chini yake,

Angalizo: Usipuuze ndoto unayoota, Hasa ndoto ambayo ukiamka unaikumbuka.

Mtu halisi yupo ndotoni, ndoto ni HALISI,

Wachawi wakikuroga ktk vikao vyao, hawawezi kuzuia usifahamu mipango Yao maana Roho ya mtu katika Ulimwengu wa Roho inajua Kila kitu, na itakufahamisha ukilala ktk ndoto, ingawa lugha ya ndoto Huwa kimafumbo.

Muhimu ni kuwa makini na watu unaowasimulia ndoto zako.

Mfano, Mke wa mtu Fulani aliota ndoto na katika ndoto alimwona mumewe Yuko UCHI wa mnyama na watu wakimtizama Kwa dharau,

Kwa Sababu hakujua tafsiri na mtu sahihi wa kumshirikisha ndoto, alimsimulia mumewe aliyejua maana ya ndoto.

Mume alikuwa ametoka kuzini na kahaba siku kadhaa zilizopita na akafanya Siri.

Mke alipomsimlia ndoto Ile, alimdamganya kuwa ndoto hiyo ni uongo alimwambia atakuwa alikula chakula Cha kumzidi na na ndo sababu ya kuota vile.

Maisha ya mtu always hayatofautiani na ndoto anazoota Kila mara Hasa zinazojirudia.

Amen.
 
Ndoto za namna hii zinatusumbua wengi, mara nyingi naota naenda kufanya mtihani alafu sijui chumba nilichopangiwa! Naishia kuzunguka majengo nikiwa full stressed, mpaka muda wa mtihani unaisha!
Dah hii kumbe ni popular sana aise.
 
Hahaha dah sup bhana inauma sana, sema nadhan kuna message sjui Mungu hutuonyesha dah.

Yani ilinikuta nipo home nishamaliza chuo nasikilizia majibu,daah nikaota hiyo ndoto nipo darasani napiga pepa,provisional result kutoka nipo na sapu yangu imenyooka,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom