Wataalamu wa kutafsiri ndoto

selemangrace346

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
450
613
Wakuu kwema?

Sitaki kuwachosha naenda straight kwenye point

Ni muda mrefu sasa nimekuwa nkipata ndoto ambayo imekuwa ikijirudia mara kwa mara ikinihusisha na mambo ya darasani hasa hasa huwa naota npo kwenye chumba cha mtihani na katika chumba hicho mara nyingi huwa nakumbana na matatizo mengi kama kuchelewa kwenye mtihani, kuchaniwa karatasi yangu ya mtihani, kuzuiwa nje nisiingie kwenye chumba cha mtihani ilihali mtihani huo unanihusu n.k yaani in short always nakuwa na matatizo niwapo kwenye chumba cha mtihani.

Naomba mnisaidie hii ina maana gani?
 
selemangrace346 pole mkuu, ndoto huwa inaonesha mambo yanayoendelea ktk ulimwengu wa kiroho kabla hayajatokea katika macho.

Tafsiri ya ndoto hiyo, ni kwamba unarudi nyuma kimaisha kwasababu unaota upo shuleni wakati ulishamaliza, pia kuna watu wanakufanyia ushirikina ili usiongezeke ktk maisha yako. ndio maana unazuiwa kuingia kwenye mtihani nakadhalika.
 
Hii ndo ina maana 2

1. Unapaswa ukirudie ulichoruka iwe ni shule au mpenzi. Kuna jambo hujachelewa kulianza. Kama umeajiriwa ongeza elimu

2. Hii huwa ni unalogwa kuna mtu amekuwekea lizuizi usifanikiwe kabisa. Hapa aidha nenda kwa mganga sugu au kama mdini funga siku 15 ukiomba toba na Mungu akanusuru

3. Unadhambi au ubaya uliwahi aidha msema mtu au ulimchonganisha au ulidhulumu. Bado hiyo inatafuna safari yako ya mafanikio
 
selemangrace346 pole mkuu, ndoto huwa inaonesha mambo yanayoendelea ktk ulimwengu wa kiroho kabla hayajatokea katika macho.

Tafsiri ya ndoto hiyo, ni kwamba unarudi nyuma kimaisha kwasababu unaota upo shuleni wakati ulishamaliza, pia kuna watu wanakufanyia ushirikina ili usiongezeke ktk maisha yako. ndio maana unazuiwa kuingia kwenye mtihani nakadhalika.
tafsiri nzuri ila hapo kwenye ushirikina mzee
 
Back
Top Bottom