Msaada wa haraka - Namna ya Kuondoa windos 8 na Kuweka Windows 7/ XP kwenye PC

Masterproud

JF-Expert Member
Sep 14, 2012
440
116
Habari wadau. Nina Pc yng mpya, nimeanza kwa kuinstall windows 8 lakini nimeona hainifai kwani ni trial nimeamua kutaka kuitoa na kuweka version ya chini ya windows yaani 7 au Xp. Kila nikiboot upya kuinstall inakwnd na baadae inaleta msg kuwa "Setup can not continue and windows is shuting down to prevent damage of your computer....".
Sasa wakubwa naombeni msaada Je nawezaje kubadili hii windo na kuweka toleo la chini la Microsoft OS (7/XP? ) Asanteni
 
je unataka kutoa kwasababu ni trial au unasababu nyingine.. je ukupata keys za windows 8 bado utakuwa na niya ya kuipiga chini, hatua ibayokugomea ni ipi, je umeshaformat hard disk au bado..una jaribu kuweka windowa7 au winxp..
 
kama sababu ni window trial basi kuna njia nyingi za kuichakachua,natumia simu nw siwezi kukupa link ila nenda kat.ph then andika windo 8 crack utapata files za kucrack hiyo window ukishindwa nenda youtube aangalie video za how to crack window 8 watakueleeza na wapi utapta files za kucrack,pamoja
 
je unataka kutoa kwasababu ni trial au unasababu nyingine.. je ukupata keys za windows 8 bado utakuwa na niya ya kuipiga chini, hatua ibayokugomea ni ipi, je umeshaformat hard disk au bado..una jaribu kuweka windowa7 au winxp..

Bw. Crash nimeamua tu kuipiga chini windows 8 nataka kushuka na kuweka 7. Naomba procudure za namna ya kutoa 8 ambayo ni version ya juu na kuweka 7 au hata Xp.
 
mi windows huwa nainstall kama software na haijawah nisumbua nodwnload window naextract kama software nyengine narun setup halafu inaingia tu
 
Sawa chief, ila kwangu me ndio hvy inagoma. Nilimuuliza mwl wangu wa CISCO akasema windows kutoka juu kushuka chini ni tabu kidogo: llia kuapgrade ni toka xp kwenda 7/8 nirahisi. hata hvy, hakunipa solution cm ikakata na hapatikani. I still need help on this.
 
ndani ya hii miez 3 nilikua 8 nkaja 7 nkaenda 8.1 sasa hv nmerud 7 sjawah pata kikwazo chochote
 
Wadau nashukuru sn nimeweza kusolve tatizo la kubadirisha window kutoka windows 8 kurudi yaani downgrading to 7. Thanks for your contributions
 
Sawa chief, ila kwangu me ndio hvy inagoma. Nilimuuliza mwl wangu wa CISCO akasema windows kutoka juu kushuka chini ni tabu kidogo: llia kuapgrade ni toka xp kwenda 7/8 nirahisi. hata hvy, hakunipa solution cm ikakata na hapatikani. I still need help on this.

Kweli huyo mwalimu wako ni wa CISCO sijawah pata tatizo either la ku upgrade au kudowngrade eti ni kazi??? Mwalimu wako kakudanganya itagoma only if the device is not compatable na windows unayotaka kuinstall, hdd mbovu au cd mbovu.
 
Why uninstall Windows 8 when it is possible to install all the three O.S all in one system. Unless the RAM of your PC is below 1 Gb
 
Kwa nini ufanye installation mbili au tatu wakati matumizi yako yanatoshelezeka kwa OS moja?
 
je unataka kutoa kwasababu ni trial au unasababu nyingine.. je ukupata keys za windows 8 bado utakuwa na niya ya kuipiga chini, hatua ibayokugomea ni ipi, je umeshaformat hard disk au bado..una jaribu kuweka windowa7 au winxp..

Mkuu mi naomba unisaidie keys za windows 8
 
Back
Top Bottom