Msaada wa mawazo kuhusu kozi ya kusoma

kid boe

Member
Jun 16, 2023
26
3
Jamani wakuu msaada wenu tafadhali, mnaonaje mimi mdogo wenu nikasome Business Administration diploma na mnanishauriaje? pia kwa ajira nitapata baada ya kuhitimu?

Naomba niwasilishe.
 
Aloooooooo.
matokeo yako yakoje tukushauri vizuri.
Pia moyo wako unasemaje kuhusu kitu unachokipenda na unachotaka kukisomea.
NAungana na wengine usisome ili uajiriwe
soma kupata maarifa na ujuzi
ajira inaweza kuwepo au isiwepo.
fanya uchaguzi sahihi usije ukajuta baadae.
 
N
duuh jamn ko hata nikisoma clinical medicine siambulii kitu kuhus ajira
Tunawambia ukweli saivi hamna ajira ila ukienda chuo unapanua akili ya kupambana na maisha Yani fahamu zinafunguka jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha.

Kwaiyo wewe ondoa wazo la kuajiriwa course zote saiv hamna ajira Kuna watu wamemaliza tangu 2016 mpaka Leo hawajajiriwa kwaiy nenda ukasomee lakin utambue Kuwa kuajiriwa Hamna weka mindset kujiajiri.

Ningekushauri zaidi ukasomee Clinical Medicine kuliko Business Administration maana business Ina watu wengi na hata kujiajiri kwake siyo Rahisi, but clinical medicine Ina uwanda Mpana wa kuajiriwa ama kujiajiri
Kila la kheri
 
Eti clinical medicine nani kakuambia hyo coz Bora sana???? Hyo mbona ya kawaida sana tu kama ni kama stashahada ya kiswahili tu usiweke matarajio makubwa wazankujiajiri kwanza
 
N

Tunawambia ukweli saivi hamna ajira ila ukienda chuo unapanua akili ya kupambana na maisha Yani fahamu zinafunguka jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha.

Kwaiyo wewe ondoa wazo la kuajiriwa course zote saiv hamna ajira Kuna watu wamemaliza tangu 2016 mpaka Leo hawajajiriwa kwaiy nenda ukasomee lakin utambue Kuwa kuajiriwa Hamna weka mindset kujiajiri.

Ningekushauri zaidi ukasomee Clinical Medicine kuliko Business Administration maana business Ina watu wengi na hata kujiajiri kwake siyo Rahisi, but clinical medicine Ina uwanda Mpana wa kuajiriwa ama kujiajiri
Kila la kheri
Clinical medicine unajiajiri vipi mkuu🙏🙏
 
ila nd ada kubw aisee
 
Back
Top Bottom