Msaada wa maarifa tafadhali kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu hii hali

Alder F 16

Member
Feb 28, 2022
65
53
Halooo natumaini wote mpo salama kiafya, na kwa ambaye afya imeyumba kidogo pole Sana na Mungu akuimarishe.

Kuna jambo limenishangaza sana asubuhi ya leo; kabla sijaamka nilikua naota ndoto kuwa jamaa angu kanipigia sim, nikapokea, afu nikaanza kuongea nae. Ghafla usingizi ukakatika na sekunde kadhaa tu baada ya usingizi kukata sim yangu ikaanza kuita, na aliyenipigia Ni jamaa 'angu niliyeota naongea nae!

Kwa anaefahamu hali hii inaitwaje, na inatokana na Nini? Na mara kadhaa nimewahikuwa napata kusikia Kama nimeitwa na mtu nikiwa nimelala, Ila mda mfupi baada tu ya kuamka nakuta naitwa kweli! (Hali hiyo haijawahi kunipata usiku isipokuwa asubuhi, mchana, au jioni)

Msaada wa maarifa tafadhali kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu hii hali. Ahsanteni...
 
Ni spirit contact, waweza pia kumpigia mtu simu akakwambia hata yeye alikuwa anakufikiria akupigie.

Binadamu tungeweza kutumia robo tu ya uwezo Mungu aliotupa basi tungekuwa mbali.
 
Mimi Kuna wakati naota au nakutana na nyoka baada ya siku kadhaa naaambiwa ndugu yangu kijijini kagongwa na Nyoka..

Naota ajali ya moto baada ya siku kadhaa naaambiwa huko kijijini kwetu imetokea ajali hiyo Hiyo
 
Angalau umewezakuniewa nilichomaanisha mkuu (Ingawa sijaju Kama wewe ni Mr au Ms) Ila ahsante Sana mkuu...
 
Mimi Kuna wakati naota au nakutana na nyoka baada ya siku kadhaa naaambiwa ndugu yangu kijijini kagongwa na Nyoka..

Naota ajali ya moto baada ya siku kadhaa naaambiwa huko kijijini kwetu imetokea ajali hiyo Hiyo
Duuuh noma sana mkuu, hizi hali tunatakowa kuzielewa (Huenda zinatokana na upande wa goza, au upande wa Nuru)...
 
Halooo natumaini wote mpo salama kiafya, na kwa ambaye afya imeyumba kidogo pole Sana na Mungu akuimarishe.

Kuna jambo limenishangaza sana asubuhi ya leo; kabla sijaamka nilikua naota ndoto kuwa jamaa angu kanipigia sim, nikapokea, afu nikaanza kuongea nae. Ghafla usingizi ukakatika na sekunde kadhaa tu baada ya usingizi kukata sim yangu ikaanza kuita, na aliyenipigia Ni jamaa 'angu niliyeota naongea nae!

Kwa anaefahamu hali hii inaitwaje, na inatokana na Nini? Na mara kadhaa nimewahikuwa napata kusikia Kama nimeitwa na mtu nikiwa nimelala, Ila mda mfupi baada tu ya kuamka nakuta naitwa kweli! (Hali hiyo haijawahi kunipata usiku isipokuwa asubuhi, mchana, au jioni)

Msaada wa maarifa tafadhali kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu hii hali. Ahsanteni...
Kiswahili tunasema una majini ya uganga kizungu tunasema una maono, chagua unatembea na maono au uganga?
 
Ukiwa kwenye hatua ya kuamka au kulala (waking and sleeping process) unakuwa upo macho kwa kiasi fulani na unakuwa usingizini kwa kiasi fulani (tuseme 50 macho/50 umelala).
Na sehemu ambayo uko macho unakuwa unasikia kinachoendelea nje lakini hapohapo unakuwa umelala na unaota, means utakachokisikia nje ubongo wako automatically utakiunganisha na ndoto.

Na kwakua unajua wazi kwamba ukisikia mlio wa simu basi kitachofuata ni kupokea na kuongea means ubongo utaunganisha hicho kitendo na hiyo logic kwenye ndoto na utakuwa unaota unachokifikiria au unachokijua.
Bila shaka hiyo simu ilikuwa inaita kweli na huyo mtu alikuwa anapiga mara nyingi hivyo uliisikia lakini ulikuwa bado umelala na unaota kisha ukaamka kutoka usingizi alivyopiga tena ukapokea.

Na ndio maana unasema haijawahi kutokea usiku sababu ni wakati ambao unakuwa umelala kwa asilimia 100%.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom