Msaada wa laptop kushindwa kumaliza katika upigaji wa windows

The Illicit Mc

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
469
640
Habari wakuu wangu katika idara
Kuna laptop compac inashindwa kumalizia ktk upigwaji wa windows mpya baada ya kujizima na kushindwa kuwaka na kumalizia
Ikiwaka inaomba setup tuu.
Ikashauriwa ipigwe windows
Na ikipigwa windows inapoishia Ni Kama mfuatano wa picha ulivyo na baada ya part ya particition inaleta ujumbe huo wa mwisho
Msaada pleaseView attachment 805087View attachment 805089
IMG_20180707_205855.jpg
 
hard disc imechomoka kwenye njia zake mkuu,ungekuwa ulilijua mapema hata window usingepiga,ukiitikisa utaisikia hdd inacheza..
 
Hard disk imelege kwenye njia zake fungua uisukume ikaze.
 
Habari wakuu wangu katika idara
Kuna laptop compac inashindwa kumalizia ktk upigwaji wa windows mpya baada ya kujizima na kushindwa kuwaka na kumalizia
Ikiwaka inaomba setup tuu.
Ikashauriwa ipigwe windows
Na ikipigwa windows inapoishia Ni Kama mfuatano wa picha ulivyo na baada ya part ya particition inaleta ujumbe huo wa mwisho
Msaada pleaseView attachment 805087View attachment 805089View attachment 805090
Hii issue naijua wala pc haina tatizo lolote, hapo hiyo computer compatibility yake ni windows 10 au 8 tuu haikubali windows 7 kama huamini weka windows 10 au 8 alafu leta mrejesho.
 
...
I hate guys waleta mada wasiofuatilia kwa feedback!
...
Sorry mkuu sio matarajio yangu kutokufuatailia feedback. Nilikuwa kidogo njee ya mji, kwaiyo mtandao haukum mzuri na nilikuwa na simu ndogo special kwa kazi za field
 
Hii issue naijua wala pc haina tatizo lolote, hapo hiyo computer compatibility yake ni windows 10 au 8 tuu haikubali windows 7 kama huamini weka windows 10 au 8 alafu leta mrejesho.
Kuhusu windows zilijaribiwa zoote.., 7,8 na 10 ila hazisogei zaidi ya hapo
 
Hilo suala huwa linatokea jaribu kupiga window kwa mara nyingine tena.
Shukrani Kaka Devion.... I'll tumepiga mara kwa mara nankuishia hapo.
Naona ushauri wa mkuu mtafuta-maisha ndio nilikuwa sijaufikiria
 
Back
Top Bottom