Msaada wa kutafsiri picha hii kwa madaktari hasa wataalamu wa uzazi

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Habari za jioni watu wa Mungu,naomba msaada mezani kwangu Nina hoja nimeletewa na mshirika Fulani kuwa yeye anatatizo La Sperm Infertility,
Nikaona ni vema nikalileta humu kwenu madaktari mnisaidie maelezo ya Kidaktari huku tukiendelea kumuomba na kumsihi Mungu amtendee jambo apate watoto.

Naomba kujua.
1. Husababishwa na nini?
2. Mini Dawa ya kutatua tatizo hilo?
3. Je? Anaweza kupona kidaktari?

8f31a31ae7d6b2699a1ad9b9131a5cf0.jpg

72611bc28c02699ef7d9cfdf33d0d788.jpg

Natanguliza shukrani kwenu..
 
Damn!

Non motile 70%??

That sucks!

Sababu za male infertility zipo kadhaa.

Na male infertility kwa asilimia kubwa inatibika.

Hapo ni kutafuta wataalamu walibaini tatizo na wakishalibaini watatoa mapendekezo yao ya nini kifanyike.
 
Damn!

Non motile 70%??

That sucks!

Sababu za male infertility zipo kadhaa.

Na make infertility kwa asilimia kubwa inatibika.

Hapo ni kutafuta wataalamu walibaini tatizo na wakishalibaini watatoa mapendekezo yao ya nini kifanyike.
Motile ni uwezo wa kuogelea kufikia yai babe?
 
Ni ngumu kutibu men's fertility kwa sababu ina factor nyingi zisababishazo hilo tatizo unless liwe si lawkuzaliwa au genetic factors ndo mgonjwa anaweza tumia miti shamba kwa mda flan mungu akasaidia mambo ya kajipa though wengi hupata stress wakisha jua wanatatizo na hilo huongeza tatizo pia
 
Akapandikize fasta inaunganishwa na yai la kike
 
Kwa teknolojia ya leo hata hapo Nairobi Kenyatta Hosp. wanachukua moja tu na kuipandikisha yai pevu unapata moutoto ile ina kufanana baada ya mesi 9 tu.
 
Habari za jioni watu wa Mungu,naomba msaada mezani kwangu Nina hoja nimeletewa na mshirika Fulani kuwa yeye anatatizo La Sperm Infertility,
Nikaona ni vema nikalileta humu kwenu madaktari mnisaidie maelezo ya Kidaktari huku tukiendelea kumuomba na kumsihi Mungu amtendee jambo apate watoto.

Naomba kujua.
1. Husababishwa na nini?
2. Mini Dawa ya kutatua tatizo hilo?
3. Je? Anaweza kupona kidaktari?

8f31a31ae7d6b2699a1ad9b9131a5cf0.jpg

72611bc28c02699ef7d9cfdf33d0d788.jpg

Natanguliza shukrani kwenu..
mkuu ulizitoaje?

ulipiga nyet0?

mie nimeenda hazijatoka , ikabidi nesi mmoja matata mwenye sambwanda akasema aninyonye zitoke, nikakubali, akanyonya hadi rahaa, hapa nipo kwake naendelea na zoezi

Kwa teknolojia ya leo hata hapo Nairobi Kenyatta Hosp. wanachukua moja tu na kuipandikisha yai pevu unapata moutoto ile ina kufanana baada ya mesi 9 tu.
Sio lazima Nairobi hata hapa dar
Ila bongo wazushi sana sio wa kuamini kiivo unaweza kupoteza hela bure
Wale wahindi bado sana
 
Yeah km mtu anajiweza hilo halina ubishi hata hapa dar wanafanya hiyo mambo DARIVF clinic
Wale jamaa wa mikocheni kufanikisha kwao sio saana sishauri mtu sana Nina uzoefu bora aende south au nairobi
 
Back
Top Bottom