Msaada wa kupata chuo

Bampcm

Member
Feb 26, 2013
43
4
Wana jf naomben msaada wenu. Nna rafiki yangu 2memaliza nae f4 amepata div 4.28 naomben msaada wenu kama kuna vyuo mnavyo vijua na course zp znalipa hasa znazohuc masomo ya sayansi kama pharmacist..... Matokeo yake ni haya
civ F
eng F
his F
kis D
geo D
che D
phy D
mat D
bio C
 
Karnataka University India kinatoa nafasi ya kusoma pre-university kwa waliomaliza form 4 kwa miaka miwili na baada ya hapo unaendelea na degree kwenye course za science,computer na biashara.
Tuwasiliane kupitia aahmeda50@hotmail.com kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom