Msaada wa Kukuza Picha

Mhafidhina

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
549
22
Wanajamii naomba kupata msaada wa jinsi ya ku attache picha ili ziweze kuonekana kubwa. NImejaribu kila namna nimeshindwa kabisa.

Naombeni msaada wenu. Hatua kwa hatua
 
jamani kwa wale mnaojua kupost picha, naombeni msaada wenu kwa kubandika picha kubwa hapa JF.
 
nakupa shortcut
use "internet explorer"----------copy and paste nyingine za kiutaalam watakupa kina mods


obama-hu-jintao.jpg
 
kumbe hili tatizo tunalo wengi, tumwagieni elimu zaid mi natumia google chrome.
 
Ebwana Mhafidhina nimeona challenge unayoipata ya kuweka picha kubwa inakumba watu wengi hivyo nikaona nitengeneze hii video clip ili iwe msaada kwa wengi.
CAUTION: Sikuweka sauti. Hope it will be helpful to you guys

[video]http://screencast.com/t/CSnXDl3cZ[/video]
 
Asante sana Paulo,

Vipi kama ni picha ulizonazo kwenye computer na unataka kuzi upload hapa? Unafanyaje? Manake hio demo yako inaonyesha namna ya kuweka picha ambazo zipo kwenye internet...!
 
Asante sana Paulo,

Vipi kama ni picha ulizonazo kwenye computer na unataka kuzi upload hapa? Unafanyaje? Manake hio demo yako inaonyesha namna ya kuweka picha ambazo zipo kwenye internet...!

Mkuu proccess nzima ya kuweka picha kwenye forum si unaijuwa, kama jibu ni ndio basi kazi rahisi sana.

Mimi huwa nikishaweka picha, uwa na click ku command picha ilyokuwepo kwenye forums ifunguke in full, kisha huwa nafungua another window same topic, window ya kwanza na click picha ili ifunguke in full bila ya kuona thread, kisha window ya pili na click button ya "edit" then na drag ile picha kutoka kwenye window ya kwanza kupeleka kwenye window ambayo nimebofya kifungo cha edit. Simple!


Somali 100sh.JPG
 
jamani kwa wale mnaojua kupost picha, naombeni msaada wenu kwa kubandika picha kubwa hapa JF.

Hizo picha kubwa za kuweka JF za nini? Wengine tuliwafundisha kaufundi kidogo baada ya siku wakaanza kututukana tena kwa hizo hizo picha chacha njomba timeshituka lazima tuelewe kwanza kiini na mchimamo wa Mhafidhina maana wakati wa kwenda unakuwa mjinga sio wakati wa kurudi. Pata chacha kono mbele!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom