Msaada wa kufungua .rar file/folder kwenye Pc

coscated

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
2,919
1,968
Kuna file nimedownload ila ipo kwenye rar fomat na imekataa kufunguka kwenye computer yangu, naomba mwenye ujuzi anisaidie please natumia window 7.
 
Kuna file nimedownload ila ipo kwenye rar fomat na imekataa kufunguka kwenye computer yangu, naomba mwenye ujuzi anisaidie please natumia window 7.

Unahitaji Winrar. . .
Unaweza ukadownload trial version hapa http://www.rarlab.com/
 
kama una software za kutengenezea rar kama winrar kwenye pc yako fanya hivi! right click kwenye hilo file then choose option ya ku extract files! normally ukikubali hatua znazofata kwa ku click next file la software utakuta kwenye desktop!
 
Kuna file nimedownload ila ipo kwenye rar fomat na imekataa kufunguka kwenye computer yangu, naomba mwenye ujuzi anisaidie please natumia window 7.

ukiona file yoyote ambyo imeandikwa .rar or .zip it means kwamba ndani yake kuna files kadhaa ambazo zimekuwa compressed ili kusave space na kurahisha usafirishaji wake. So ili kuweza kuzifungua inabidi uinstall software ya winzip or winrar then right click kwenye file unalotaka kulifungua then go winzip or winrar then click on extract here.
 
Back
Top Bottom