Msaada wa ku unlock modern

Jan 31, 2011
24
8
Wataalamu naombeni msaada wa ku unlock moderm za voda IMEI 353462041015129 S/N 321502361173 na Moderm nyingine ni IMEI 359592035174054 S/N 321202835738

Ahsante kwa msaada.

pole sana mkuu...moderm za vodacom hazina shida sana kuzichakachua kama hizi moderm nyingine...moderm za voda hazihitaji unlocking code wala nini cha kufanya ni kudownload dashboad nyingine...ukipitia post zilizopita utaona link za kudownload 3g dashboard kwa ajili ya voda moderms...ukishadownload dashboad nyingine...uninstall vodafone dashboard...hapo ukiweka line yoyote itafanyakazi...hiyo dashboard ya vodafone ndo unayokataa line nyingine...

Adolph please naomba msaada wako zaidi kwenye hii. nimetafuta Post za nyuma sijaona web ya ku download hiyo 3g dashboard, na wakati nadownload nakuwa natumia vodafone (moderm yenyewe ninayo ichakachuwa au hata nikitumia local network?) nisaidie kwa kadri uwezavyo tafadhali.

we niPM anwani ya email yako ili niku2mie attachments ya zte join air UMEME UKIRUDI

Wataalamu naombeni msaada wa ku unlock moderm za voda IMEI 353462041015129 S/N 321502361173 na Moderm nyingine ni IMEI 359592035174054 S/N 321202835738

Ahsante kwa msaada.

Nikijibu kufuata heading ya thread yako ni kwamba una-lock tradition!!

kuna software inaita joinair iko pouwa kama vipi kaisearch google " download joinair.zip uspopata soon ntapost link inapiga modem zote za Zte without unlock code,or flashing code

uninstall vodafone software bila kuchomoa "modern"

disable autostart unapochomeka flashdisk

<br /
install software hii,
kimeo vista - nimeipenda hii

Nini ni Modem bidhaa na mtindo Ni imefungwa kwa Vodafone ok Network, lakini pia mfano wa bayana?, Kupata kanuni Kufungua kwa modems kutoka hapa Superunlockcodes.com na kufungua ni kutoka lock Network ....... unaweza kupata kanuni kufungua kwa Huawei na modems Alactel kufungua ni ...

Similar Discussions

Back
Top Bottom