msaada wa kiwanja(plot)

lily

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
229
26
Hello again wana Jf, nataka kununu kiplot maeneo ya mbweni chenye view ya bahari kwa umbali(likini siyo lazima) kiwe na ukubwa wa sqm 1500 to 1900 uwezo wangu ni mili 25 tu. wenye kujua pls. hata maeneo ya mbezi au boko its ok. upepo muhimu.
 
Hi viwanja vipo hasa maeneo ya Mbweni ndo nina uhakika...... ila kuna madalali pale tegeta kibaoni ni wazuri sana viwanja vyao maranyingi siyo vya kitapeli ila inabidi uwe macho kabla ya kutoa pesa. Uliza pale Tegeta kibaoni kijiwe cha madalali jina ni Athumani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom