kamanga2016
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 652
- 501
Nisiwachoshe wadau niende Moja Kwa Moja kwenye maada.
Mimi ni mtumishi niliyewahi kunifaika na bodi ya mikopo elimu ya juu, nikiwa chuoni. Mara baada ya kumaliza masomo yangu ya chuo nilipata kazi kwenye taasisi ya binafsi nilikokuwa nakatwa makato ya bodi Kwa Kila mwezi. Baada ya mkataba wangu kuisha niliajiriwa serikalini, ambako nimeendelea kukatwa Kila mwezi,
Changamoto yangu ni Kwa yule mwajili wangu wa kwanza makato hakuwa anafikisha yote bodi Kwa hiyo amelipa kiasi kidogo ukilinganisha na kile nilichokatwa.
Nimejaribu kufuatilia Mara kadhaa bila mafanikio zaidi ya kuambiwa tunalifuatia tutakujulisha, na nilipojaribu kuwashirikisha bodi nao wanasema hawana uwezo wa kumdai yule mwajili wangu wa awali kwani yeye alicholipia ndicho wanachokijua.
Naomba msaada wa kisheria tafadhali naweza kufanyaje Ili kujikwamua n huu mzigo unaonikabili.