Msaada wa kazi kufundisha somo la hisabati

Wachuma

Member
Aug 4, 2016
52
20
Kuna kijana amemaliza form six, mwaka huu 2016, mchepuo wa PCB. Ameshaenda hadi jeshini mujibu wa sheria na amechaguliwa kwenda chuo umri wake miaka 20.
Kutokana na matatizo ya kifamilia na kipesa imeshindikana kujiunga mwaka huu ndio maana anaomba kufundisha apate kuwekeza isaidie kumuwezesha kuongezea malipo baadae.
Ana uwezo wa kufundisha hesabu (mathematics) kuanzia form one hadi four. Ana uzoefu wa lugha za kingereza na kiswahili.
Msaada wenu WanaJF.
 
Mimi sijaelewa Unatafuta pesa au Kufundisha? Kama Kufundisha si unaweza kukusanya watoto mtaani kwenu ukawafundisha.
 
Mwambie afundishe masomo ya combination yake. Physics,Chemistry na Biology.

Hesabu awaachie wengine
 
Back
Top Bottom