Msaada wa jibu wadau

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
ningependa kufahamu kuna uwezekano wowote wa kuweza kuunganisha dvd deck na monitor ya computer bila kutumia PC,au mayb labda kuna kifaa chocho nachoweza kutumia kuweza kufanya hiyo connectin and use my monitor to watch DVD's i will appreciate your response guysThanks and Regards.
 
Ndio mkuuu inawezekana kabisa lakini inadepend na dvd deck yako angalia nyuma kama kuna sehemu ya kuconnect ile cable ya monitor ya pc yako dvd deck nyinigi inasehemu iyo yakuchomeka cable pia sasa unaweza chomeka ndio lakini bado monitor yako isiweze kuonyesha kitu angalia kwny remote yako na uchague PC mode kama kunasehemu ya kuchagua PC mode siwezi specifical nikakuambia itakuwa imeandikwaje coz kila deck inatofautiana labda ugeweka specifications za deck yako apa na labda watu wangeweza toa jibu au kukusaidia vyema zaidi lakini mainly ni NDIO INAWEZEKANA
 
Thanks Mkuu nimekupata vyema,Problem is deck ni ya mchina na nyuma ina matundu yale ya kawaida tu haina sehemu ya kuchomeka cable,So lets say kama haina sehemu ya kuchomeka cable there is no any other alternalive? Or mayb labda kiunganishi ambacho naweza kukinunua kikawa kama connectore mayb?
 
Daah sasa apo cinauhakika kama kuna alternative nyigine labda inaweza ikawepo lakini kwa ujuzi wangu the only option ni iyo port ambayo inaconnect na cable ya monitor other than that sifahamu
 
Mkuu inawezekana kabisa tafuta VGA to AV cable au AV - VGA Cable inafanana hivi

VGA to AV cable.jpg cable.jpg
 
mkuu ubarikiwe kuliko wana JF wote...na wote tuseme amen
 
Back
Top Bottom