Msaada wa internet-ideos

ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
4,972
6,965
Wakuu naomba msaada, nina kasim Ideos lakini kana maandishi with googleTM, android version 2.3.7, ni touch screen. Sasa nimeweka line ya voda na nikajaribu kuunga internet kwa kutuma neno internet kwenda no.15300 lakini inagoma, je hii ni mpaka niende vodashop ndio waniungie?
Tafadhali msaada.
 
To buy any Vodacom Internet bundle, dial *149*01# and select the Internet option.
 
je line nyingine zinakubali?. tafuta humu kuns thread zinazohusu kuconfigure simu. waweza pata msaada wa kwanza.
 
Mkuu KANG, Nimejaribu kwa kupitia hiyo link uliyoweka hapo, kwenye manufacturer list hii simu haipo , nikatumia IMEI No.35509304(ya hii sim) ikanipa msg hii. [h=1]Phone model is not configurable[/h]It appears that your phone model is a Huawei U8150.
No automatic configuration or configuration guide is supported for your phone.
Press Choose a different phone if you are not using a Huawei U8150.
Press View setting parameters to view the parameters to configure your phone manually.
Select a different phone
View setting parameters

Ina maana hii simu haiwezi kuconnect internet? nikampe mchunga ng'ombe wangu?

nenda kwenye settings... Network and connections.... My networks...tafuta sehemu itakayokwambia add ''apn'' (utaiona ukibonyeza hiyo icon ya vimistari) then kwenye name weka internet,..apn weka internet then activate...
 
fuata mtiririko huu
nenda
>settings
>wireless & networks
>mobile networks
>Access Point Names
bofya menu then bofya add
kisha jaza hizi
NAME:internet
APN:internet
kwingine acha kama palivyo
bofya menu kisha save.
baada ya hapo select hiyo APN kazi kwisha
 
mm pia nitumia simu hiyo hiyo, nilishakuwa nashida hii. chakufanya nenda kwenye setting, na change APN; kwenye NAME: VODACOM, APN: internet , Port: 9401 , user name: vodacom, MCC: 640, MNC: 04, Authorification: none. Sehemu nyingine zipo empty.nathani itakua ni msaada kwako.
 
Nashukuruni wadau kwa kujitolea kunisaidia hapa. Sasa inafanya kazi 100%.
Kweli JF ni shule.
Pia Chief-mkwawa big up sana...
 
Nashukuruni wadau kwa kujitolea kunisaidia hapa. Sasa inafanya kazi 100%.
Kweli JF ni shule.
Pia Chief-mkwawa big up sana...

simu yangu ni aina hio. Nimefuata configuration hapo juu na sasa inafanya kazi. Tatizo haifungui home page hivyo inakuwa vigumu kudawload application. Sasa wakuu naomba msaada wenu jf ndio kila kitu.
 
simu yangu ni aina hio. Nimefuata configuration hapo juu na sasa inafanya kazi. Tatizo haifungui home page hivyo inakuwa vigumu kudawload application. Sasa wakuu naomba msaada wenu jf ndio kila kitu.

click menu....kuna icon ya market...utaingia android store..utadownload applications...some are free some are for sale
 
simu yangu ni aina hio. Nimefuata configuration hapo juu na sasa inafanya kazi. Tatizo haifungui home page hivyo inakuwa vigumu kudawload application. Sasa wakuu naomba msaada wenu jf ndio kila kitu.
ku download apps kunanjia mbili
1)kwa kutumia play store au market ambayo utaikuta ndani ya simu yako.
2)kwa kutumia .apk files a,
mbazo uta download kutoka katika mitandao mbalimbali,
njia zote hazi hitaji home page maana home page ya simu nyingi za android ni Google ambayo sizani kama ina umuhimu wa kene kudownload apps.
jaribu pitia websites hizi kwa apps za android
GetJar | Mobile |
Choose platform | Download Mobile Apps & Games | Brothersoft Mobile
amdroidzoom.com
 
Jf noma. Nawashukuru wote mlionisaidia. Kumbe haka kasimu ni bomba kananiletea alart kuwa kuna E-mail imewasiri. Nilitaka kukauza.hahahahaha!!!!
 
Jf noma. Nawashukuru wote mlionisaidia. Kumbe haka kasimu ni bomba kananiletea alart kuwa kuna E-mail imewasiri. Nilitaka kukauza.hahahahaha!!!!

kazuri sana ...tatizo lake battery life,. Na screen sio imara kuzuia michubuko
 
Back
Top Bottom