msaada wa HIGH DEFINITION TV

Kuna vitu wala huitaji kuwa na Degree kutambuwa kama huu ni upigaji, hayo ni majina ya kuwazubaisha watumiaji wasiokuwa makini na nyingine inaitwa sunsung, hapa nia yao ni kuwaingiza mkenge wanaopenda Sumsung wajikute wananunuwa hiyo kitu bila kujijuwa.

Mkuu Hata hiyo Sumsung nayo umepigwa yenyewe yenyewe inaitwa Samsung (kidding),
 
Back
Top Bottom