msaada wa HIGH DEFINITION TV

The Listener

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
993
213
Nimejiunga na dstv siku si nyingi zilizopita. Napenda kufahamu ni aina gani nzuri ya high definition television yenye bei nafuu/nzuri hapa bongo. Hii ni kwa sababu nimekuwa nikitumia tv ya kwaida siku zote na nimekwishatest uzuri wa hd tv. Please wan jukwaa mnijulishe
 
Kama nditichia alivyosema Hisence 42" unapata kwa 1.2m ila kama vp ingia znz upate 42" kwa 900.
 
Kuna kitu kinaitwa Singsun LED 32" nyembambaa kwa 500,000/= fedha za kitanzania
 
Ndugu kwa kuwa vituo vyetu bado vinatumia teknolojia ya analogue hata ukipata HDTV bado haitakuwa kwa kiwango hicho. lakini vi vyema kutumia ving'amuzi ili upate ubora huo... Aina zinazosifika ni samsung, Sony Panasonic na nyinginezo. Hakikisha kwa unanunua yenye full HD

Kwa maelezo zaidi bofya hapa
HDTV Buying Guide: Making Sense of the Specifications | PCWorld

Mkuu, haujamsoma vizuri jamaa?! anasema amefunga DSTV, kwa hiyo ni full ma-discovery hd!!
 
ndugu yangu....kama unataka kuona raha ya pesa yako.....basi tafuta Samsung LED.....hutajuta....
 
ndugu yangu....kama unataka kuona raha ya pesa yako.....basi tafuta Samsung LED.....hutajuta....
Preta we mkare, ni wiki moja sasa tangu nimenunuwa hiyo Samsung LED, na jamaa anayefanya kazi Sumsung alinieleza hawatoleta tena Sumsung LCD yaani kitu Latest ndio hicho LED. Halafu huwa nachukizwa na mtu anayetaka mambo mazuri halafu anakuja na Lugha ya bei nafuu, jamani bure ghali.
 
Last edited by a moderator:

ewaaaaa....sasa ukitaka kinoge....kitupie na deck yake ya samsung HD....na kama unatumia king'amuzi cha dstv basi kiwe na chenyewe HD.....
kwani nini bana....maisha yenyewe siku hizi mwisho miaka 20....wayiiii.....
 
umeona enheee...
 
Preta we mkare, ni wiki moja sasa tangu nimenunuwa hiyo Samsung LED, na jamaa anayefanya kazi Samsung alinieleza hawatoleta tena Samsung LCD yaani kitu Latest ndio hicho LED. Halafu huwa nachukizwa na mtu anayetaka mambo mazuri halafu anakuja na Lugha ya bei nafuu, jamani bure ghali.

Mkuu Matola, kuna kitu inaitwa Samsung Smart TV. Hii nasikia ni balaa,ina features za kufa mtu;ni zaidi ya LED,LCD na Plasma TV editions zote za Samsung.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Singsang hawana HDTV? Kwani huko Znz wanauza Singsang cheap sana
Kuna vitu wala huitaji kuwa na Degree kutambuwa kama huu ni upigaji, hayo ni majina ya kuwazubaisha watumiaji wasiokuwa makini na nyingine inaitwa sunsung, hapa nia yao ni kuwaingiza mkenge wanaopenda Sumsung wajikute wananunuwa hiyo kitu bila kujijuwa.
 
Mkuu Matola, kuna kitu inaitwa Samsung Smart TV. Hii nasikia ni balaa,ina features za kufa mtu;ni zaidi ya LED,LCD na Plasma TV editions zote za Samsung.

shemeji...hii sio ile tunaangalia tukiwa tumepiga tinted.......?
 
Back
Top Bottom