Msaada wa haraka: Nimevimba korodani

Mdau jf

Senior Member
Sep 10, 2020
182
312
Amani iwe nanyi,

Naomba msaada ndugu zangu, ni miezi miwili sasa korodani yangu moja upande wa kulia ina kauvimbe kadogo kagumu kasiko na maumivu. Hii hali inanifikirisha sana

Doctors naombeni msaada wenu.
 
Amani iwe nanyi....

Naomba msaa ndugu zangu ni miezi miwili sasa Korodani yangu Moja upande wa kulia Ina kauvimbe kadogo kaguma kasiko na maumivu, Hii hali inanifikirisha sana

Doctors naombeni msaada wenu
Henia hiyo wahi hospital
 
Kama kwa miez 2 umegoma kbsa kwenda hospitali na mbupu imevimba, bora usindikize maombi haya humu jukwaani na kapicha murua ili tuone tunafanyaje.
 
Amani iwe nanyi,

Naomba msaada ndugu zangu, ni miezi miwili sasa korodani yangu moja upande wa kulia ina kauvimbe kadogo kagumu kasiko na maumivu. Hii hali inanifikirisha sana

Doctors naombeni msaada wenu.
Mkuu ni dalili ya maradhi ya ngiri ya mshipa aka ngiri maji hiyo, ukienda hospitali utafanyiwa operesheni hutaki kufanyiwa operesheni nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia uguwa pole mkuu.
 
Amani iwe nanyi,

Naomba msaada ndugu zangu, ni miezi miwili sasa korodani yangu moja upande wa kulia ina kauvimbe kadogo kagumu kasiko na maumivu. Hii hali inanifikirisha sana

Doctors naombeni msaada wenu.
Kwanini ulichukua sheria mkononi kwa kutumia mafuta ya upako?
 
Amani iwe nanyi,

Naomba msaada ndugu zangu, ni miezi miwili sasa korodani yangu moja upande wa kulia ina kauvimbe kadogo kagumu kasiko na maumivu. Hii hali inanifikirisha sana

Doctors naombeni msaada wenu.
FB_IMG_16936390541027170.jpg

Pole Sana mkuu.
 
Back
Top Bottom