Msaada wa haraka -mke wa mpangaji wangu anataka nizae nae,abaki na kumbukumbu yangu.

nyie raia mbona mnakariri sana,Post alieandika ni mimi,
We ushaona wap kike kwa kike wanapeana mimba.
Nasema.Mi Male
 
Kuna kawimbo fulani nadhani ni ka Tanga International kanaimba...... "Zubeda wa *****, Mimi nakutafuta, Zubeda u wapiee, watu wanasema yupo city"....... (napata tabu kukutafuta zubeda kila mahali mjini tanga nimepita zubedaaaa.....) Hahahahaaaa zubeeeda bin Davi bin Cameroon....
zubedayo...Male
 
Itakua ngumu kupata michango ya ukweli,unless umetoa maelezo ya kutosha kuhusu id yako!
 
huyo mama ana ngoma! Au humuoni alivyo.....anataka kukudakisha wewe na mkeo! Shauri yako.
 
Tamaaa za mwili zitakupoza wewe kijana, kwani ana nini kinachoweza kuhatarisha maisha yako usipo zini naye? acha uoga mwache atembee na hamisini zake na wewe na zako. ujue mke wa mtu sumu!
jamani yamenikuta mke wa mpangaji ametokea kunipenda na mpaka kuniweka wazi kuwa hataki mahusiano yoyote ila niwe tayari akiwa kwenye siku za kushika UJAUZITO,Ndo tukutane kuitumia hyo siku vizuri.
Then tusifahamiane tena hata mtoto akizaliwa nisitegemee kufahamu hilo,kwani akijigundua tu Ana mimba alinambia atamlazimisha Mme wake waende mi itakuwa ngumu kufahamu walipo.
Nimeonywa nisipotekeleza ntakiona cha mte makuni.
Njia panda wana JF.
 
Ndio mkome kutafutia wachumba humu JF!!! Mtu ID yake ina jina la kike but ni mwanaume! LOL!!! Tabia za ki-cameron huanza hivi hivi...then mwishowe unatoga masikio na kuvaa wigi kabisa!!!!
kwani we zubeda jike dume? mbona mnatuchanganya humu JF? mi nilijua zubeda ni mwali kumbe .....au umeandika hili bandiko ukimuwakilisha mtu mwingine? fafanua tafwazali!!!!
 
Sasa mbona jina lako ni la 'Ke? Anyway, ushauri wangu ni huu. Nomba kufahamu kama huyo mpaji wako ana mtoto au watoto wengine. Kama hana ujue anamfichia siri mume wake maana bunduki ina risasi za maji; hivyo, kiubidamu toa huo msaada. LAKINI KUMBUKA KWENDA NAYE ANGAZA KABLA YA HUO UFIRAUNI. Aidha, kama wana mtoto/watoto epuka hiyo kitu matokeo yake sio mazuri, inawezekana baada ya kumpa mimba atakulazimisha kufanya kitendo kingine maana tayari atakuwa amekufunga. Akikulazimisha kujengea nyumba au kumpatia mtaji wa biashara kwa masharti ya kutunza siri?. Lakini kumbuka mla vya wenzike na vyake huliwa.
 
huyo mama unatembea nae. haiwezekani from no where akutamkie hayo maneno mazito, mke wa mtu sumu. acha hiyo tabia. akamtamtafute xb wake. anakuambia wewe kama nani?mia
 
..kama lengo la huyo mama ni kumfichia SIRI mmewe tafadhari mpe DUDU..bt ikatokea tayari ana watoto/mtoto nakwambia kuna cku utakuja utafunwe MATUTA yako hadi ukome,mke wa m2 sumu,eti ataenda mbali!!!..THUBUTU ukitoa copy yako tu mmewe atakujia,c ajabu na mie nkaalikwa kwenye shughuli nakuambia UTAJUTA KUJIFANYA KIDUME KWA WAKE ZA WATU..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom