Msaada wa haraka jamani

Kama kweli anampenda asingeenda FB kutafuta wadada,akiahidiwa mechi ataikataa????????????

Ila nahisi ni wewe mwenye tatizo,si useme tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.Mpige chini fasta kabla hajakugea kale ka ugonjwa ketu.
umeona eee asingeenda huko fb
sio mm mana ingekua mm ningesema tu wala siogopi na ningempa kosovo kabla hajaniletea kaugonjwa ningeshakula lapa refuuuuuuuuuuuuu
 
Chuoni siyo mahali pa kufanya mapenzi, kila mmoja azingatie shule kwa maslahi yake mwenyewe na familia yake kwa ujumla.
 
someni hii k2 haina shombo wala shobo, mapenzi ya Vyuoni mtaumizana bure hapo bado ma-Lectuare hawajawachukua ili msi-Disco samahanini kama nimewaudhi sina lugha laini zaidi ya hiyo
 
Back
Top Bottom