Msaada wa haraka huawei y 530

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
656
166
Naombeni msaada nina simu yangu huawei y530 kuanzia leo imeanza kunisumbua mara inajiwasha na kuzima yenye mara inabadili rangi ya display na kuwa nyeusi na kuna ujumbe unasomeka unfurtunately,system ui has stopped mara contacts has stopped naomba msaada isijeikawa simu ndio imefikia mwisho.
 
jaribu kujua kama inaweza kuflashika , nyingi zikifikia hatua hiyo huwa ndio basi tena mpaka kubadili chip, ili kujua kama inaweza kuflashika izime ikishazimika binya kwa pamoja button za sauti yaani volume + na volume - kwapamoja bila ya kuachilia alafu bonyeza power button bila ya kuachulia zile za volume ikija scrren ya rangi ya pink itaweza kuflashika, ikija screen rangi nyeusi na ,Maandishi yanayosomeka MMC SYSTEM itakuwa ni majanga mpaka kubadili chip (CHIP NI AINA YA IC INAWEKWA NDANI YA SIMU NA MAFUNDI WANAOJUA TU)
 
Nimeifanyia hard reset lakini wapi,mambo ni yaleyale.
 
Huawei kuna code zake ukipewa unafungua cm unatumia line zoote...,kuflash sio powa unauwa cm
 
Back
Top Bottom