Msaada wa driver ya VGA

sayicom

Member
Jul 2, 2011
66
1
Habari wadau
tatizo langu katika laptop ni driver ya VGA kila niki install hiyo laptop inakuwa nzito sana na inaanza kuganda lakini nikiitoa inakuwa nyepesi please nifanye nini ili niweze ku install na hilo tatizo lisiwepo?
Pleaz natanguliza shukurani LAPTOP NI DELL LATITUDE D531
 
kachome cd ya universal drivers au unaweza kuidownload hapa Link 1.rar na hapa Link 2.rar ukishamaliza weka kila ki2 ambacho kipo kwenye separated filez vyote viwe ndan ya file moja kisha right click my computer nenda kwenye Manage halauf ingia device mangerao hapo ndio inabid uright click na ku update kila ki2 kwa kubrowse hiyo driver folder ukimaliza restart nadhan ukiingia tena kwenye device manager utaona v2 vmeongezeka navyo viupdate ukirertart tena nadhan u r a gud to go.
 
nenda my computer>properties>device manager>display adapters>properties>details kisha palipo andikwa property, u scroll to hardware ids then ucopy maandishi yatakayokuja hapo chini yanayoanza na maneno pci/ven uni pm hayo maneno nitaweza kujua aina ya vga yako na kama ina mashida yeyote na pia nitaweza kukuelekeza the best drivers for it. plus unijulishe O.S unayotumia
nimeweka snap sample kutoka laptop yangu uone nilivyofanya
 
Attachments

  • device.JPG
    device.JPG
    140.2 KB · Views: 49
nenda my computer>properties>device manager>display adapters>properties>details kisha palipo andikwa property, u scroll to hardware ids then ucopy maandishi yatakayokuja hapo chini yanayoanza na maneno pci/ven uni pm hayo maneno nitaweza kujua aina ya vga yako na kama ina mashida yeyote na pia nitaweza kukuelekeza the best drivers for it. plus unijulishe O.S unayotumia
nimeweka snap sample kutoka laptop yangu uone nilivyofanya

Ngoja NIMRAHISISHIE KAZI
attachment.php
 
Back
Top Bottom