Msaada wa computer

dallaz28

Member
Aug 25, 2016
14
16
Wana JF naomba msaada PC yangu hapa iki sleep basi hata nikibonyeza mara moja power button haiwaki inataka niizime kwa (hardpowerOffbutton) ndio iwake tena.Tafadhali mwenye idea anisaidie hapa
 
Mara nyingi tatizo ni OS, kama ina muda mrefu sana au kuna mafaili yameharibiwa jaribu kubadili window inaweza tatua tatizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom