Msaada wa computer yangu

mshamu

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
418
133
Wataalamu hili limekaaje? Jana nilizima computer yangu aina ya DELL(Ya kawaida siyo lap top) vizuri tu. Leo nawasha haiwaki inaonyesha taa ya njano kwenye eneo la power inawaka waka haibadililki kuwa kijani kuonyesha kuwa power iko sawa na pia haipo stand by yani haiwaki kabisa. Nadhani nimejieleza vizuri toka asubuhi nawasha nazima mambo yale yale. Ushauri tafadhali.
 
kama una utaalam kidogo jaribu kufungua then toa hard disk baada ya muda irudishie tena au vp,halaf jaribu kuwasha
 
Mdau,
Jaribu kwenda kwa fundi. Tatizo litakuwa lipo kwenye motherboard. Kuna chip ya power huwa inakufa mara nyingi hasa kwa Dell PC na laptop nyingine.

Wakishindwa kukutengenezea, nitafute kwa e-mail hii info@g12.hk, nikuelekeze kwa mafundi wetu wa Dar na Arusha.
 
Nashukuru sana wakuu ngoja sasa niende kwa jamaa anisaidie kwa mawazo yote hayo asanteni sana
 
Signal cable umeichomeka vizuri kwenye CPU yako? angalia pia kama cable power imekuwa connected vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom