M mbwai Member Nov 28, 2011 18 0 Jun 6, 2012 #1 Nisaidie jinsi ya kuweka silide show ya picha kwenye blog yangu.
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Jun 6, 2012 #2 mbwai said: Nisaidie jinsi ya kuweka silide show ya picha kwenye blog yangu. Click to expand... hiyo slide ni kama banner au unataka picha zi slide kama urembo? kuhusu banner ingia hapa bannersnacks.com
mbwai said: Nisaidie jinsi ya kuweka silide show ya picha kwenye blog yangu. Click to expand... hiyo slide ni kama banner au unataka picha zi slide kama urembo? kuhusu banner ingia hapa bannersnacks.com
tindikalikali JF-Expert Member Jan 14, 2011 4,855 1,117 Jun 7, 2012 #3 ndetichia said: hiyo slide ni kama banner au unataka picha zi slide kama urembo? kuhusu banner ingia hapa bannersnacks.com Click to expand... mkuu nataka kutengeneza blog...niende site gani nzuri?
ndetichia said: hiyo slide ni kama banner au unataka picha zi slide kama urembo? kuhusu banner ingia hapa bannersnacks.com Click to expand... mkuu nataka kutengeneza blog...niende site gani nzuri?
D Dotowangu JF-Expert Member Nov 14, 2011 242 77 Jun 7, 2012 #5 www.blogspot.com au worldpress kama sijakosea..hiyo kwanza lazi uwe na gmail acount