Msaada wa banjuka TTCL broadband

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
834
151
Kufuatia lile tangazo lao la Banjuka na TTCL nime nunua Modem pamoja na kununua vocha ya sh 50.000 , sikwenda na laptop yangu, walicho kifanya ni kuni ingizia vocha , na kujaribu kuhakikisha kuwa imeingia kwa ku nipigia simu yangu hapo hapo, sikupokea nikakata.

Ajabu kufika home kucheki salio nakuta 37,000 , nikatumia net kwa saa moja tuu , nikaondoka, narudi sasa hivi nakuta salio ni 27,000 .

Sasa najiuliza je nilitakiwa ku register kwenye Banjuka package au nikwamba ukisha nunua hii modem ni automatically umeingia kwnye banjuka, maana hawakuniambia kama kuna namna ya ku register na service hi ya banjuka ambayo unaweza tumia kuanzia 500 mbaka 1000 kwa saa ,kutegemeana na wakati unaoingia kwnyemtandao. Nimejaribu kuwapigia TTCL lakini hakuna jibu simu inaita tuu.
 
Mkuu ile modem ukiinunua na wakikwambia umeunganishwa na banjuka unachotakiwa kufanya ni kwamba kama hautumii net uhakikishe ume-disconnect vinginevyo hata ukichomoa modem bila kudisconect connection system yao itaendelea ku count muda coz wao wanacharge kwa muda unaokuwa online na sio bundle kama wengine. BTW pole sana mkuu.
 
TTCL Banjuka ni uwizi mtupu. Usije ukajaribu kwani itakufilisi. Unaweza kutumia hadi 10,000/- kwa siku kwa ku-surf dakika 30 tu.

TTCL ni wezi, lakini nadhani kampuni zote za simu ni wezi kwani Airtel watakupa 2500/- kwa mwezi lakini spidi yake ni kama kobe anayevutwa na konokono kupanda mlima.

Vodacom ndo kabisa hata neti hupati. Zantel walianza vizuri kabla na wao hawajajiunga na genge la majambazi sasa pengine wenzetu wa Dar watatueleza jinsi Sasa-Tel inavyofanya kazi maana haipatikani mikoani.

Hivi fibre optic zimesaidia nini hasa Tanzania? Maana huduma za internet ni mbovu, slow na very expensive sasa kuliko zamani.
 
Zimesaidia kupunguza speed ya Internet mkuu.
 
ila jamani kwa speed ya kudownload na internet in general mi naifagilia Sasatel.yaani uwezi amini video streaming kutoka kama youtube haichukui dakika yaani kuna baathi ya videos inaonyesha bila kustop.na lafu ni affordable tsh.7500 for 1.5 GB ambayo kwa matumizi ya kawaida its a lot.kama wewe matumizi yako ni kucheck mail,sports ,fb,jf n.k mbona utacheka mwenyewe!!!.so sofar Sasatel is the best ingawa sijatumia airtel na zantel.tigo is too slow even to check mail ti tatizo.
 
Asanteni sana, ila kwakweli nafaidi sana hii TTCL Banjuka, kwa mimi matumizi yangu ni mkubwa na naona sina limit, ingawa ina wezekana ni ghali kidogo , naweza tumai 10,000 kwa siku mbili, zaidi naingia online usiku kuanzia saa tano, so inakua natumia kama sh500 kwa saa, sijapata tatizo la ku chomoa modem na ikaendelea kucharge, , itabidi ni hakikishe hilo, lakini kwa mpango a Unlimited TTCL ni mkombozi kwangu, maana speed ni nzuri sana na pia matumizi yangu yalivyo makubwa naona najitosheleza. Sasa hivi nacheki kla kitu kakuanzia News ,Videos ,radio online bila kuhofu tena hayo mambo ya bundles.
 
Moja
Sasatel wanatumia CDMA (Carrier detection media access) ambayo inakuibia muda bila ww kujua coz ukitumia Tsh 500 masaa 24 bila kudownload sasa utakua unafanya nini.
Pili
Bidhaa za Sasatel i mn hardware zao si za kuaminika
Tatu
Hawako tayari kumsaidia mteja anapopata tatizo
 
Rekebisha hapo kwenye bold
CDMA ina simama badala ya code division multiple access.
 
Kufuatia lile tangazo lao la Banjuka na TTCL nime nunua Modem pamoja na kununua vocha ya sh 50.000 , sikwenda na laptop yangu, walicho kifanya ni kuni ingizia vocha , na kujaribu kuhakikisha kuwa imeingia kwa ku nipigia simu yangu hapo hapo, sikupokea nikakata.

Ajabu kufika home kucheki salio nakuta 37,000 , nikatumia net kwa saa moja tuu , nikaondoka, narudi sasa hivi nakuta salio ni 27,000 .

Sasa najiuliza je nilitakiwa ku register kwenye Banjuka package au nikwamba ukisha nunua hii modem ni automatically umeingia kwnye banjuka, maana hawakuniambia kama kuna namna ya ku register na service hi ya banjuka ambayo unaweza tumia kuanzia 500 mbaka 1000 kwa saa ,kutegemeana na wakati unaoingia kwnyemtandao. Nimejaribu kuwapigia TTCL lakini hakuna jibu simu inaita tuu.

Pole mkuu ni kwamba hiyo modem yako haijawa activated kuhandle data. Ni kwamba kwa sasa unaitumia kama simu ya kawaida tu.

Tafadhali wasiliana na kituo cha kutoa huduma haraka iwezekanavyo. Simu. Ni TTCL ambao walitakiwa kuiactivate lakini for some reason wanazembea.

Kwa ushuhuda tu ni kwamba kwa sasa hakuna huduma bora ya internet kulinganisha na TTCL Broadband. I have tried the rest.
 
Nafikiri ukishanunua modem ya ttcl, inakuwa automatically imeunganishwa na banjuka au inakuaje wakuu?
 
hv huwez kununua line ya ttcl ukatumia kawaida kwnye cm? Kwa matumiz ya internet?
 
airtel 3.75 ni us*ng* mtupu, slow kama kobe.
sasatel ndio mambo yote kwa dar es salaam!,
all in all ttcl ndio mpango mzima, we download kuanzia saa 6 usiku utaipenda mbona!
 
Hawa ttcl vipi mbona huawei fwt haikubaliani na window 7 au kuna anayejua kuunganisha
 
ttcl bb yaani broadband ndio mpango mzima. naitumia tangu 2007 na nina bundle ya 2b kila mwezi.
mimi nimetumia modeerm za kila mtanda kasoro tu sasatel lakini hakuna hata mtandao mmoja tu unaoweza kuifikia ttcl broadband kwa speed na reliability na even cost wise wako chini uklinganisha na hivi vimtandao vinavyojitangaza kila siku kwenye tv na radio na magazeti.
Sasa nashangaa watu hapa wanafagilia hivyo vimtandao kana kwamba tuko hapa ku enjoy matangazo mazuri na si huduma.
Nawahakikishia kwa sasa hivi voda, airtel, zantel na tigo wanauza matangazo sana kuliko wanavyouza huduma zao.
Muhimu ukikutana na tatizo, piga 100 customer care watakupa msaada mzuri sana kuliko kusikiliza porojo hapa.
 
Back
Top Bottom