antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 448
- 871
Hello JF's members,
Naomba msaada juu ya taratibu za kufuata ili niweze kupewa passport ya kusafiria.
Lakini kingine kwa mtu ambaye hana mwenyeji huko anakoenda, anaruhusiwa vipi kusafiri? Maana nimewahi sikia mahali kuwa, ukitaka kusafiri lazima uwe na mwenyeji wa eneo hilo.
So, kwa mtu anayenishauri basi azingatie kuwa sina ABC ya kitu chochote kuhusu kusafiri nje ya nchi, ninachojua tu ni kuwa natakiwa kuwa na passport na sijui aina za hizo passports wala gharama yake.
Lakini azingatie kuwa huko ninakoenda sina ndugu yeyote, lengo nataka kwenda kama kutalii tu na kama nitapendezwa na mazingira basi nitahamia huko huko for almost ten years.
Targeted country ninayotaka kwenda ni CANADA.
Natanguliza shukrani, pia nategemea ushauri mzuri kutoka kwenu.
Ahsante!