Msaada: Utaratibu wa kupata passport ya kusafiria ukoje?

antanarivo

JF-Expert Member
Jan 9, 2018
448
871
Hello JF's members,

Naomba msaada juu ya taratibu za kufuata ili niweze kupewa passport ya kusafiria.

Lakini kingine kwa mtu ambaye hana mwenyeji huko anakoenda, anaruhusiwa vipi kusafiri? Maana nimewahi sikia mahali kuwa, ukitaka kusafiri lazima uwe na mwenyeji wa eneo hilo.

So, kwa mtu anayenishauri basi azingatie kuwa sina ABC ya kitu chochote kuhusu kusafiri nje ya nchi, ninachojua tu ni kuwa natakiwa kuwa na passport na sijui aina za hizo passports wala gharama yake.

Lakini azingatie kuwa huko ninakoenda sina ndugu yeyote, lengo nataka kwenda kama kutalii tu na kama nitapendezwa na mazingira basi nitahamia huko huko for almost ten years.

Targeted country ninayotaka kwenda ni CANADA.

Natanguliza shukrani, pia nategemea ushauri mzuri kutoka kwenu.

Ahsante!
 
Hello JF's members

Naomba Msaada juu ya taratibu za kufuata ili niweze kupewa passport ya kusafiria

Lakini kingine kwa mtu ambaye Hana mwenyeji huko anakoenda , anaruhusiwa vipi kusafiri maana nimewahi sikia mahali kuwa ukitaka kusafiri lazima uwe na mwenyeji wa eneo Hilo

So kwa mtu anayenishauri basi azingatie kuwa Sina ABC ya kitu chochote kuhusu kusafiri nje ya nchi ninachojua tu ni kuwa natakiwa kuwa na passport na sijui aina za hizo passports Wala gharama yake ,

Lakini azingatie kuwa huko nakoenda Sina ndugu yeyote lengo nataka kwenda kama kutalii tu na kama nitapendezwa na mazingira Basi nitahamia huko huko for almost ten years

Targeted country nayotaka kwenda ni CANADA:

Natanguliza shukrani pia nategemea ushauri mzuri kutoka kwenu

Ahsante!
Kule Canada yupo bwana mkubwa Godbless Lema.

Kwa uhakika zaidi kuhusu namna ya kupata hati yako ya kusafiria tembelea wavuti ya idara ya uhamiaji www.immigration.go.tz

Ila kwa ufupi na uchache unatakiwa uwe na viambata vifuatavyo;-
1. Fomu ya maombi ya passport iliyojazwa na kusainiwa na wewe pamoja na wakili (unajaza online kisha unai print).
2. Barua yako ya kuomba passport (just a simple official letter).
3. Barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa.
4. Nakala ya cheti chako cha kuzaliwa.
5. Nakala ya cheti cha kuzaliwa ya mzazi wako mmoja. (Kama hauna unapeleka kiapo yaani affidavit)
6. Namba yako ya NIDA au nakala ya kitambulisho cha NIDA kama unayo.
7. Uthibitisho wa safari (hizi zinatofautiana kulingana na madhumuni ya safari yako). Kwa wewe hapo unaweza kupeleka uthibitisho wa uwezo wa kujilipia gharama za safari, malazi, n.k (Bank statement yenye "mzigo" wa kutosha kufanya hayo).

Kwa uchache ni hayo hapo.

Gharama:
20,000/= (Unalipia wakati unajaza fomu online)
130,000/= (Unalipia benki mara baada ya kupeleka nyaraka zako uhamiaji na zikakaguliwa kuonekana ziko sahihi).

Jumla ni 150,000/=

Hapo sijahesabia gharama za wakili na "lojistiki" zingine ndogondogo.

Kila la heri. Ukienda Canada umsalimie sana Godbless Lema.
 
Ukitaka kihalali ni 150,000 kila kitu. Ila uwe tayari kuulizwa Affidavit ya bibi mzaa babu yako.

Ukitaka fasta kwa mchongo hapo hapo Uhamiaji andaa 250,000-300,000.

Nchi yoyote unaweza kwenda hata kama huna ndugu kikubwa uwe na hela ya kujikimu ukiwa huko, hapa lazima uonyeshe Bank Statement yako yenye hela za kutosha.

Nchi yoyote unaweza kwenda ila Canada na USA ni muziki mnene!
 
Daah shukrani sana mkuu , ubarikiwe
 
Shukrani, yaani nilichokuwa nawaza ni sababu ya mm kusafiri kumbe mzigo ukiwa vizuri wanakuruhusu tu

Shukrani
 
Ukitaka kihalali ni 150,000 kila kitu. Ila uwe tayari kuulizwa Affidavit ya bibi mzaa babu yako.

Ukitaka fasta kwa mchongo hapo hapo Uhamiaji andaa 250,000-300,000.

Nchi yoyote unaweza kwenda hata kama huna ndugu kikubwa uwe na hela ya kujikimu ukiwa huko, hapa lazima uonyeshe Bank Statement yako yenye hela za kutosha.

Nchi yoyote unaweza kwenda ila Canada na USA ni muziki mnene!
Shida kuwajua hao wa kula nao mingo shida sio pesa
 
Kule Canada yupo bwana mkubwa Godbless Lema.

Kwa uhakika zaidi kuhusu namna ya kupata hati yako ya kusafiria tembelea wavuti ya idara ya uhamiaji www.immigration.go.tz

Ila kwa ufupi na uchache unatakiwa uwe na viambata vifuatavyo;-
1. Fomu ya maombi ya passport iliyojazwa na kusainiwa na wewe pamoja na wakili (unajaza online kisha unai print).
2. Barua yako ya kuomba passport (just a simple official letter).
3. Barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa.
4. Nakala ya cheti chako cha kuzaliwa.
5. Nakala ya cheti cha kuzaliwa ya mzazi wako mmoja. (Kama hauna unapeleka kiapo yaani affidavit)
6. Namba yako ya NIDA au nakala ya kitambulisho cha NIDA kama unayo.
7. Uthibitisho wa safari (hizi zinatofautiana kulingana na madhumuni ya safari yako). Kwa wewe hapo unaweza kupeleka uthibitisho wa uwezo wa kujilipia gharama za safari, malazi, n.k (Bank statement yenye "mzigo" wa kutosha kufanya hayo).

Kwa uchache ni hayo hapo.

Gharama:
20,000/= (Unalipia wakati unajaza fomu online)
130,000/= (Unalipia benki mara baada ya kupeleka nyaraka zako uhamiaji na zikakaguliwa kuonekana ziko sahihi).

Jumla ni 150,000/=

Hapo sijahesabia gharama za wakili na "lojistiki" zingine ndogondogo.

Kila la heri. Ukienda Canada umsalimie sana Godbless Lema.
Kama unataka kuomba kwa matumizi ya baadae, yaani uwe tayari endapo la kutokea likitokea uwe na hiyo Passport. Je, wanaweza kukupa? bila kuzingati hicho kigezo cha kukuuliza unaenda nje kufanya nini(shida gani inakupeleka)
 
Hapana, kwa taratibu zao za sasa "hawakupi".
Wao wanaamini kwamba passport unatakiwa kuipata pale tu ambapo itahitajika (kwa maneno mengine ni kwamba wanataka ujiandae na vita wakati tayari vita hiyo imeshaanza). In real world "wakati wa amani ndio wakati wa kujiandaa na vita"

Hivyo basi ili kulitimiza hilo ulilolisema, "you need to make a lie".

Hapa namaanisha unatakiwa kutafuta sababu "yoyote ile" ambayo itakufanya uonekane unahitaji kusafiri hivi karibuni, kumbe wewe utasafiri mbeleni, lakini unataka tu kuweka vitu vyako sawa. (Getting your things ready to rumble at anytime).

Nadhani Mlumbi umenielewa hapa.

Kwa kifupi; Unatakiwa utumie "U-Cuba"

NB;- Kama utaamua kusubiri hadi pale ambapo fursa ya safari itajitokeza ndipo ufanye maombi yako ya hati ya kusafiria, hawatakucheleweshea. Wako quick.
Hapa ndipo ninapowapendea uhamiaji.

Kwa mengineyo ya ki Cuba, PM yangu ipo wazi. Karibu
 
Ahsante sana Mlumbi kwa ufafanuzi mujaarabu.

Vipi nikitumia mgongo wa Utumishi kuwa siku yoyote naweza kusafiri kikazi nje ya Nchi, hawawezi kunielewa?

Sababu kubwa ndio hii ya kikazi maana kuna jamaa kanitonya lolote linaweza kutokea tukatakiwa kusafiri na wenye passport wanaweza kupewa kipaumbele, wengine ambao hawana wakaachwa.
 
Njia rahisi kwa hii kesi yako ni kuongea na "watu wa ofisini kwenu" ili upate barua ya kwamba kuna safari ya kikazi ya nje ambayo wewe ni miongoni mwa walioteuliwa kwenda.

This will be a very good "reason for a travel". Hapa kupata passport ni 100%.

Hiyo njia nyingine uliyoitolea mfano hapo juu, kufanikisha ni 50/50.

Lakini ijaribu.

Kila la heri.

Na hongera sana kwa kuziendea barabarani fursa, ili zinapopita zikukute uko tayari kwa safari.
 
Ahsante mkuu, kuna jamaa pia kanishauri nitumie mgongo wa ofisi kama ulivyosema wewe hapa.

Ngoja nipambane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom