Msaada Ugomvi kuhusu kununua ardhi second hand

Igwachnya

Member
Jan 5, 2011
80
20
Habari wana jamvi? Naombeni ushauri wenu kuhusu hii kesi yangu...
February mwaka huu nilinunua ardhi kwa mtu mitaa ya Goba. Yule alienuzia kwa sasa yupo Arusha. Tatizo ni kuwa yule mzee alieuza eneo lile kwa mara ya kwanza anamsumbua kila mtu anetumwa kufanya kazi eneo lile hata kama kusembua au kupeleka tofauli... nikimtafuta na kuonana nae hana lolote analoniambia zaidi ya kusema nitafute muda tuongee.... nikitafuta huo muda bado hasemi kitu cha maana na inaonekana kama anamkana hata mtu aliyekuwa amemuuzia mara ya kwanza...

Kwa sababu mimi nashindwa kuendelea na kibanda changu kwa fujo zake ndo maana naomba ushauri wa kisheria, KATIKA MAZINGIRA KAMA HAYA NAPASWA KUCHUKUA HATUA GANI?
 
Ukimshitaki na hivi ni kama umeudiwa mbuzi kwenye kiroba.Kiwanja kimepimwa?hati zipo?if not pole sana
 
Back
Top Bottom