Msaada: Ubora wa simu za Startimes

gimanini

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,741
1,754
Jamani kwa mara ya kwanza leo nimeona tangazo TBC kuhusu simu za Smathphone Aina Ya Startimes,naombeni msaada je zina ubora wowote au ni mchina tu.
 
Ikiwa kisimbuzi cha 'star times' ni brand ya kichina, obvious cum phones would be from the same brand owner
 
they worth kutokana na pesa unayolipa, zinauzwa cheap, 150k unapata simu nzur, tatizo nililoliona ni low memory ukiweka apps nyingi, zina internal memory ndogo ya 2gb
 
Kweli kila mtu na matumizi yake kwenye hizi simu,2Gb internal memory bado ndogo!anyway ndio maana wametengeneza kwa ukubwa tofauti kutokana na matumizi ya mtu binafsi.
 
ndio hii naitumia kukoment hapa,P40 hii yangu inatatizo la memory card kucheza,unaweza kutumia km three hr,ikaandika memory card removed,inaniboa KATIKA hali hii,Mara ya kwanza nilizani imeregea,nikajaribu kuibana,lakini imeendelea hivyo,mfano hapa imeshatoka,ninazima simu dk kazaa,nikiwasha inakua poa,ikikaa inajirudia
 
Hata yangu ilikuwa na tatizo hilo. Niliiformat kwa kutumia computee, kwa kuichomeka kwenye card reader. Nina miezi kama miwili tatizo halijajirudia tena.
Pia tatizo jingine ni betri. Lilivimba na kuacha kukaa na chaji. Walinizingua kubadilisha ikabidi nisuke betri jingine. Saivi mambo poa tu.
 
Mimi nimeachana nao sasa nimehamia Tecno C8
 
Back
Top Bottom