Msaada tutani; Nina hali ngumu sana, nisaidieni kazi niweze kujikwamua

Ni ndoa ya kikristu tena Roman Catholic...
Ok, lakini kama unataka amani bora muachane tu kisheria, mtu achepuke, akusingizie wizi etc . Huyo bado ni mkeo na ukicheza utachuma.mali nyingine then anaenda mahakamani mgawane kwani atasema umekimbia familia na una kimada.
 
You are very correct my dear Ushimen . Haya mambo yasikie kwa mwingine tu. Unajua tatizo kubwa ni kuwa ku deal na mke mkorofi siyo jambo ambalo lina formula amabyo unaweza ku-apply popote. Nakubali kunaweza kuwa na kanuni muhimu za kufuata lakini wakati mwingine zinaweza zisiwe sahihi kutumika.
Hakuna mjanja kwenye hizi mambo, zaidi ya kumuomba God afanye kama inavyo mpendeza
 
Ukiangalia michango ya wachangia mada utagundua ni kama watu wawili tu hivi ambao wameonesha mwelekeo kuchangia anachohitaji mtoa mada,
Kuna mmoja ameonesha nia kuchangia fedha Elf 2'hadi Elf5, na kuna yule anaulizia ujuzi wa mtoa mada, na hiki ndicho naona haswa anahitaji mtoa mada.

Kitu nataka kusema kaka, pole na hilo tatizo, nachojua Mimi ukijikuta upo kwenye tatizo ,unachotakiwa kuelewa ni kuwa kuna sehemu ulikosea, na ukishakiri hilo basi unachotakiwa ni kukubali kubadilika"

Na hata ukipata msaada na Mali au fedha kama hujabadilka ni kazi bure utarudia yaleyale ,
Pia cha kuongezea ni kuwa ukijikuta umeingia kwenye matatizo makubwa kitu unachoweza kushukuru mwenyezi Mungu, ni kuomba afya ya mwili na akili isidhurike,

Hivyo kwa point hiyo ni kuwa ushauri utakao kufanya kubadilisha Mentality yako ni mhimu kuliko hata wa kuchangiwa million ikiwa mtizamo wako uliokufanya uingie kwenye matatizo haujautibu
Kwanza kama ni kibarua unaweza kukipata hukohuko mtaani kwako ikiwa tu unayo afya yako iliyo njema,
Lakini kupata ushauri ulio mzuri si rahisi kama kukipata hicho kibarua

Mwisho ,
Binadamu unatakiwa kujipenda na kujijali wewe kwanza binafsi ,wengine wafuate haina maana wewe kuendelea kuteseka huku ukimwachia nyumba uliyotafuta kwa jasho lako mtu asiyejali kuhusu mateso na hali unayoipitia, kwa kisingizio cha kuogopa kumghasi eti kwamba watoto wako watateseka.
 
Una tatizo la kushindwa kujitunzia pesa zako mwenyewe? Bank, Mpesa , tigo pesa etc?

Siku nyingine usirudie makosa haya ya wazi Kabisa. Mwanaume ni kiongozi, yeye ndio anajua anaingiza shingapi na atoe shingapi apeleke wapi au itumike vipi.

Pole.
Ww ni mwanamke, hebu nikuulize uniambie kwa uwazi tu.. Unajisikiaje umeishi na mwanaume miaka zaidi 20 halafu hakuamini!? Na unajisikiaje pale unapoishi na mwanaume zaidi ya miaka 20 halafu anakuamini.. Yaani amekufanya rafiki chako chake na chake chako..!?? Niambie hisia zako ktk mambo hayo mawili.. Kuhusu mm, huyo alikuwa mke wangu, alikuwa rafiki yangu.. Miaka ya nyuma alitunza pesa nilizokuwa nampa zaidi ya milioni 20, alipoona zimekuwa nyingi yeye ndo alishauri tuzipeleke bank na tukazipeleka.

Tukafungua akaunti 2 ya kwangu na yake. Kwangu nikaweka milioni 20 na kwake nikaweka milioni 3. Akaunti zote niilikuwa naziwekea pesa mm na hakuwahi kutoa hata 100 ingawa alikuwa na ATM card. Huyu alibadilika tu kidogo niliposafiri kwa miezi 9. Tangu niondoke kwangu, alishatuma mamia ya SMS kuomba radhi, me nikamblock.. Ameshatuma watu wa kuja kumuombea msamaha.. Nilishaitwa mpaka na paroko..lkn me bado sijaona nafasi yake moyoni mwangu... Aliyeniumiza mpaka nikaja hapa ni huyu sogea tukae aliyenifanyia ukatili...
 
Kama kazima simu na alichukua kingamuzi,
Kuna namna unaweza kukipata hicho kingamuzi,
Kirahisi saaaana
Yes niliwapigia azam wakaniambia badala ya kukifungia nisubiri akianza kulipia inakuwa rahisi kujua location.. Km nna RB watanisaidia kujua kilipo.. Ndo nasubiri akianza kukitumia.. Maana akilipa tu me napata notifications kwenye number niliyosajilia.
 
Ukiangalia michango ya wachangia mada utagundua ni kama watu wawili tu hivi ambao wameonesha mwelekeo kuchangia anachohitaji mtoa mada,
Kuna mmoja ameonesha nia kuchangia fedha Elf 2'hadi Elf5, na kuna yule anaulizia ujuzi wa mtoa mada, na hiki ndicho naona haswa anahitaji mtoa mada.

Kitu nataka kusema kaka, pole na hilo tatizo, nachojua Mimi ukijikuta upo kwenye tatizo ,unachotakiwa kuelewa ni kuwa kuna sehemu ulikosea, na ukishakiri hilo basi unachotakiwa ni kukubali kubadilika"

Na hata ukipata msaada na Mali au fedha kama hujabadilka ni kazi bure utarudia yaleyale ,
Pia cha kuongezea ni kuwa ukijikuta umeingia kwenye matatizo makubwa kitu unachoweza kushukuru mwenyezi Mungu, ni kuomba afya ya mwili na akili isidhurike,

Hivyo kwa point hiyo ni kuwa ushauri utakao kufanya kubadilisha Mentality yako ni mhimu kuliko hata wa kuchangiwa million ikiwa mtizamo wako uliokufanya uingie kwenye matatizo haujautibu
Kwanza kama ni kibarua unaweza kukipata hukohuko mtaani kwako ikiwa tu unayo afya yako iliyo njema,
Lakini kupata ushauri ulio mzuri si rahisi kama kukipata hicho kibarua

Mwisho ,
Binadamu unatakiwa kujipenda na kujijali wewe kwanza binafsi ,wengine wafuate haina maana wewe kuendelea kuteseka huku ukimwachia nyumba uliyotafuta kwa jasho lako mtu asiyejali kuhusu mateso na hali unayoipitia, kwa kisingizio cha kuogopa kumghasi eti kwamba watoto wako watateseka.
Kujijali mm si ndo pamoja na kuondoka mkuu!?? Sasa hv tatizo langu ni pesa ya kujikimu, tatizo hilo halitatuliki hata nikirudi pale bado nitakuwa sina kazi na sina hela.. Nitapata sehemu ya kulala kweli lkn sitapata hela.. Me sina tatizo la sehemu ya kulala ila nna tatizo la pesa au kazi.. Sitaki kurudi kwa sababu najipenda sitaki stress! Hizi stress za kukosa pesa zina unafuu mara 2000 kuliko za mke!
 
ndugu yangu kwasasa unaeza kuona upo njia sahihi lakin AMIN KWAMBA USIPOFANYA MAAMUZI YA KIUME TAMBUA UNATENGENEZA SUMU BAADAE JUU YA WATOTO WAKO WATAKUCHUKIA NA WATAMUONA MAMA YAO NI BORA KULIKO BABA ALIEWAKIMBIA...Inaonekana ndani ya roho yako umejawa na UOGA,mwanamke ameshachukua point 3 jitahid kufanya COME BACK,KAZI KWAKO
Kwa maisha ya Sasa kuanza kujenga nyumba nyingine mpya Ni kazi..Na bado unajitafuta.sasa imagine ukifika age YA 60 bado anaishi maisha YA kupanga nyumba ndio atajua kuwa baadhi YA maamuzi yaweza kuwa mabaya

Imagine una miaka65 huna nguvu kazi YA kufanya hata vibarua, Na mwenye nyumba anataka kodi

Acha kufa kiume wakati unaweza Rudi kwako angalau kila mmoja awe Na chumba chake kama hamuwezi kuishi pamoja..Kwa Hali yako ilivyo no way naona utajenga nyumba nyingine wakati huu ambao unajitafuta

Sometimes, maamuzi magumu yanaweza kufanya ukaishi maisha mabaya huku mke wako akiishi Kwa furaha maana hadaiwi Kodi..watoto watafikia umri waanze kujitegemea..nyumba abakie pekee yako huku WW unalala mtaroni..maana Sio kila Zama inaweza kupa nafasi YA kujenga nyumba
 
Ww ni mwanamke, hebu nikuulize uniambie kwa uwazi tu.. Unajisikiaje umeishi na mwanaume miaka zaidi 20 halafu hakuamini!? Na unajisikiaje pale unapoishi na mwanaume zaidi ya miaka 20 halafu anakuamini.. Yaani amekufanya rafiki chako chake na chake chako..!?? Niambie hisia zako ktk mambo hayo mawili.. Kuhusu mm, huyo alikuwa mke wangu, alikuwa rafiki yangu.. Miaka ya nyuma alitunza pesa nilizokuwa nampa zaidi ya milioni 20, alipoona zimekuwa nyingi yeye ndo alishauri tuzipeleke bank na tukazipeleka.

Tukafungua akaunti 2 ya kwangu na yake. Kwangu nikaweka milioni 20 na kwake nikaweka milioni 3. Akaunti zote niilikuwa naziwekea pesa mm na hakuwahi kutoa hata 100 ingawa alikuwa na ATM card. Huyu alibadilika tu kidogo niliposafiri kwa miezi 9. Tangu niondoke kwangu, alishatuma mamia ya SMS kuomba radhi, me nikamblock.. Ameshatuma watu wa kuja kumuombea msamaha.. Nilishaitwa mpaka na paroko..lkn me bado sijaona nafasi yake moyoni mwangu... Aliyeniumiza mpaka nikaja hapa ni huyu sogea tukae aliyenifanyia ukatili...
Sawa Pole….

Mungu akusaidie upate kazi uanze upya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom