Msaada tutani my BLACKBERRY jamani.

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,629
wakuu blackberry yangu inawaka lakini haidetect network yoyote hata ukibadilisha LAINI tatizo nini na nifanyeje?
 
Umejaribu kuangalia kwenye manage connections..isijekua umeswitch off mobile network..

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Angalia kama network ipo on ua la! Piga 112 je inaita? Kama inaita then hiyo Blackberry itakuwa Blacklisted by all Tanzania networks why? Ni stolen phone. Kama ukipiga 112 aipokelewi au aipatikani itakuna na tatizo la RF kama ndio ni PM ntakusaidia but please don't give me masharti ya kukutafuta wewe kama wengine wanaoomba msaada alafu mwishowe. Wanataka wewe ndo utafute nipo Dar
 
mkuu nielekeze vizuri steps coz alikuwa anatumia mtu halafu ikawa hivyo inasearch network lakini haipati kitu ni 8900
 
Angalia kama network ipo on ua la! Piga 112 je inaita? Kama inaita then hiyo Blackberry itakuwa Blacklisted by all Tanzania networks why? Ni stolen phone. Kama ukipiga 112 aipokelewi au aipatikani itakuna na tatizo la RF kama ndio ni PM ntakusaidia but please don't give me masharti ya kukutafuta wewe kama wengine wanaoomba msaada alafu mwishowe. Wanataka wewe ndo utafute nipo Dar

ok mkuu niko mbali nayo kidogo lakini nitafanya hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom