Msaada tutani: Mwenzenu sioni raha ya mapenzi

Niliimba hardcore wadosi wakachomoa ... bwana eeee toa hiyo inaboa

Nikasema niimbe commercial nikajua itaniokoa ... msoto ukazidi badala ya kupoa

Mie masikini wa bahati ... tajiri wa mikosi

Nasema sirudii tena kosa zawadi waweke MELI ... wanikabidhi na SHELI

We jamaa umenikumbusha mbali kweli ujue, Kitu cha mwanazuoni iko
 
Mimi ni mwanamke mwenye Umri wa Miaka 26, nimeolewa hivi majuzi na Mme wangu wa umri wa Miaka 34, tunapendana sana na ananitimizia kila kitu isipokuwa kuna shida kwenye "Unyumba".

Tulianza mahusiano kwa miezi kadhaa kabla ya kuoana na kuhamia kwetu peke yetu.

Tatizo lipo Chumbani tu mwenzangu anapenda sana kulambwa corn na nikimlamba kidogo tu anamwaga saa zengine mdomoni na akisha mwaga tu anaishiwa nguvu na kulala hapo hapo na kuanza kukoroma mpaka kesho na huamka kwenda kazini na kuniacha hivo hivo na maumivu ya tangu jana usiku.

Hali hiyo inanipa shida sana kwani anakuwa hajanipa haki yangu na hisia tayari zilishapanda nabaki naumia usiku wote na kuwa na mood mbaya kunapokucha, mara nyingi nabaki nimetumbua macho kama bundi usiku wote huku yeye ameridhika na amelala usingizi mnono napata maudhi sana natamani hata nimpige vibao akiwa usingizini.

Siku akijitahidi tuna have sex lakini anakuwa kama Kuku dakika tatu kashamaliza embu imagine hali nayokuwa nayo usiku huo na ujue hapo ndio kwisha Battery.

Basi nimejitahidi kumrekebisha hawezekani ndo kwanza namvuruga nakuanza kuniambia namzarau ingawa wakati tunaanza mahusiano alikuwa ananichukua tunaenda Hotel na alikuwa anajitahidi sana ingawa si katika kiwango nilichotaka, nilivumilia kwani nilihitaji kuolewa na nikajua ntamrekebisha tukikaa wote ata-Improve lakini ndio amerudi Nyuma kiasi kwamba swala la mapenzi kwangu limekuwa jinamizi linaloniwinda kila muda.

Ananisababishia hasira na stress zisizoisha nakuwa na mood mbaya mpaka kunifikisha hatua ya kukwaruzana na wafanyakazi wenzangu bila hata ya sababu au kwa kitu kidogo mara zingine nagombana na wateja na kuna siku nimesababisha msururu mrefu Bank kwani sikuwa na mood kabisa ya kufanya kazi na jana tu kidogo nitumbukize gari mtaroni kutoka na msongo wa mawazo kwa vile tu najiona siko sawa na najisikia hovyo nachukia kila kitu, asubuhi tu nimembonda mdada wa kazi kwa kitu ambacho yani najutia kitendo nilichofanya kwani hakukuwa na sababu.

Kabla ya kuwa na yeye nilikuwa na Mvulana wangu alikuwa Mwanaume wa Ukweli, round za kutosha, alikuwa anajua romance, nilikuwanaridhika mpaka nasema sitaki tena nimechoka.

Mvulana wangu alinizoesha kunyonya huku chini lakini tangu niwe na huyu Mme wangu hataki katu katu kusikia hicho kitu, nimemiss sana na nilishazoea hataki kabisa hata nikimshawishi vipi hataki lakini corn anataka kulambwa na ananiambia eti maungo yetu ni tofauti na ni sawa mi kumnyonya nshaanzisha na mgomo hapa kabisa na ameninunia.

Naona Ndoa Chungu jamani msaada wenu wa ushauri ni muhimu.

Naombeni Ushauri, Sitaki kusaliti viapo vyangu juu ya Ndoa yangu kwa Baba Padre nilivyo apa mbele ya waumini, na Mungu.Asanteni Wana Jamii.
pole sana my dear. Jaribu kuongea nae ili muende hospitali japo wanaume ni wabishi sana. Hakikataa basi tafuta mtu akukune vizuri.
 
Ukiweza njoo nae hospital au njoo wewe tukupe tiba yake na ushauri. Pole sana. Atabadilika kabisa igonjwa wake unaitwa premature ejaculation and reduced libido .
Usifanye kosa la kumcheat utabomoa ndoa yako na kujiweka kwenye hatari ya maradhi.
Kama uko dar ni hospital ya serikali . sawasawa.mm@gmail.com
 
picha za ngono zimemuathiri mmeo. au inaonekana before hajaoa alikuwa mpiga punyeto maarufu.
kaa chini ongea nae kiupole tartiiiibu atabadilika.
 
Naona Ndoa Chungu jamani msaada wenu wa ushauri ni muhimu.

Naombeni Ushauri, Sitaki kusaliti viapo vyangu juu ya Ndoa yangu kwa Baba Padre nilivyo apa mbele ya waumini, na Mungu.Asanteni Wana Jamii.
Dah! Dada yetu pole sana.
Mapenzi ni "art". Kiukweli hata kama angekuwa na uwezo wa kuhold kiasi gani angeweza kukufikisha na bado usiridhike.
He needs to want to satisfy you. Anatakiwa atake. Na mwanaume kama mwanaume huwa naturally hutaka kukuridhisha. Ni heshima ya kiume na inarank kubwa sana katika heshima za mwanaume. Kuna vitu mama zetu waliwafanyia baba zetu tukaona wanawaheshimu sana lakini hayo yalikuwa matunda ya shughuli baba zetu walizofanya huko sirini na viwango vyao.

Sasa unatakiwa umsome mumeo, anakosa nini katika maisha yake. Anahisi heshima yake ya kiume imeshuka (If u have nothing u have nothing to loose). Kama hajioni mwanaume kwenye eneo fulani katika maisha yake atakua hana sababu ya kuwa mwanaume halisi chumbani. Make him feel like a man humo ndani. Inawezekana unamuintimidate mpaka anajiona useless as a man. Rudisha hisia zake za kiume. Usilenge tu kuwa tatizo liko kwake. Kama mwanaume hajisikii kuwa mwanaume kwako hayo ndio matunda yake. Yani sisi tunavyoyanyiwa na wake zetu hata kiwango kikishuka tutafia kitandani aisee!!!

Kingine bi dada mfanye atambue kuwa si tatizo la kiafya(physically) linamfanya asikuridhishe (Na ajue kuwa huridhiki-u r friends above all that, friends tell each other things). Bali akiamua kukuridhisha utaridhika tu. Trust me on that!
 
^^
1. Epuka kulinganisha wanaume, utaumia zaidi
2. Kagua ulaji wa mumeo
3. Wakati wa tendo unatakiwa akishamwaga, wewe uanze kuvuta korodani zake taratibu pasipo kummumiza ili kumrejeshea uwezo wake. Fanya hivyo kila anapoonekana kuchoka.
4. Ajitahidi sana kutumia maji kila baada tendo moja.
5. Mjengee kujiamini na kumtia moyo wakati wa tendo la ndoa.
^^

Mkuu himidini
salam. Ushauri wako mzurI and I hope for their sake hali itaimarika. Ila jamani kuna wanaume utavuta hizo koro.ni mpaka uchoke... utaboost weweeee gari haiamki! Kiufupi wengine ndo mtihani wao huko chini battery low hataufanyeje! Pole dada naku feel
 
yani usipoangalia lazma uvumilivu utakushinda na utatafuta wa kukuridhisha tu, kesi za aina hii kama yako nimeshazisikia nyingi sana na sex huwa imara sana kabla hamjaoana mkishaona kidogo kidogo inapungua kutokana na majukumu na mazoea, sasa mwenzangu wewe hata kabla ya ndoa mambo hayakuwa shwari kivile umeingia kwenye ndoa tu muda mfupi ndo imekuwa balaa kabisa, nakuhurumia sababu mnakoelekea ni kubaya zaidi
 
duh kweli duniani kuna wanaume wa ajabu yaani mkeo hujamridhisha alafu unalala kweli baada ya kuona aibu,kwa daharau uliyojiletea..???
to be honest bidada hapo kwa wewe kuja kuridhika itakuja kuwa kazi sana hasa ukizingatia mwanzo ulikuwa na mtu anayeyajua mapenziso kila atakachofanya huyo mmeo utaringanisha na huyio jamaa wako wa mwanzo ambapo kwa hali ninavyoiona hawezi kumfikia labda cha kukushauri mwekee dawa za kuongeza nguvu za @#$% katika chakula chake bila ya yeye kujua walau kwenye game adumu walau dk 10 ingawaje sio nzuri kiafya lakini kwa hali ilipofikia ni kama vile hmana jinsi labda kama mmeo akubali kubadilika.
 
yani usipoangalia lazma uvumilivu utakushinda na utatafuta wa kukuridhisha tu, kesi za aina hii kama yako nimeshazisikia nyingi sana na sex huwa imara sana kabla hamjaoana mkishaona kidogo kidogo inapungua kutokana na majukumu na mazoea, sasa mwenzangu wewe hata kabla ya ndoa mambo hayakuwa shwari kivile umeingia kwenye ndoa tu muda mfupi ndo imekuwa balaa kabisa, nakuhurumia sababu mnakoelekea ni kubaya zaidi

Tatizo lingine kabla ya kumpata huyu mumewe alikuwa na mvulana aliyekuwa anamshughulisha kisawa sawa hadi anasema basi imetosha!

Akiendelea kumlinganisha huyu wa zamani na mumewe, itakuwa ngumu sana kupata ufumbuzi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom