Msaada tutani: Mwenzenu sioni raha ya mapenzi

Mwambie hisia zako tena uku unalia, mwambie icho anachokufanyia.Ye hayupo humu asije akakushtukia ikawa msala.
 
mimi mwenzenu ninagundu.
Nifanye nini nitoke kwenye ukungu ...

Msinipige majungu ... nunueni kanda zangu

Eti wanasema nagombania gari ... Kumbe walishapanga wampe nani toka awali

Nasema sirudii tena kosa ... zawadi waweke MELI ... wanikabidhi na SHELI
 
na wanawake wengi wanatokaga nje ya ndoa kwa mambo mawili makubwa

1. kama mume kamsaliti, yeye hufanya revenge
2. Kama haridhiki kitandani, huvumilia kwa muda fulani, ila akijaribu nje akapata anayemuwezea mume ataisoma namba..
 
Mimi ni mwanamke mwenye Umri wa Miaka 26,

Siku akijitahidi tuna have sex lakini anakuwa kama Kuku dakika tatu kashamaliza.
mwambie mumeo aache kula vichwa vya kuku na samaki! hii nayo inaharibu sana!

umri wako bado sana...
Sweetlicious, umefanana sana na Angelicious! -- kimajina lakini!

pole sana lakini kwa matatizo yanayokupata!
 
Last edited by a moderator:
Mpe dozi ya vitu hivi....
1. Juice ya ukwaju...
2. Karanga
3. Chai mdalasini mixer asali
4. Supu ya pweza
5. Maji ya kutosha
6. Mapumziko ya kutosha
7. Faragha ya ukweli yenye kuamsha mashamsham
8. Mfanye aondoe papara kwenye tendo.....
9. Nilisahau NUMBU
10. Afanye mazoezi
11. Mchunguze kama ana michepuo...
Kwa dozi hyo hapo juu asipokuwa na mihamu kila saa huyo mpeleke kwa daktari
Ila yoooote kabla ya, inabidi ukae chini uongee nae umueleze unavyojisikia....
 
Back
Top Bottom